Nimeangalia hotuba ya Waziri wa mifugo na uvuvi wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Wizara yake...jamaa anajisifu kwamba kwa kutomshauri Waziri Mpina kipindi akiwa Boss wake ndiko kumempatia nafasi ya uwaziri....How pathetic!?...Kazi ya Naibu Waziri ni mshauri namba moja wa Waziri husika, sasa jamaa Bila aibu anatamba kwamba alijua Waziri wake anakosea lakini yeye akakaa kimya.
Ulega pia anatetea uvinjifu wa Sheria kwa kukosoa kuchomwa vifaranga waliongizwa Nchini kinyume cha utaratibu...
Pia Waziri huyu anaonekana katumwa kuwatisha Mawaziri waliotolewa kwenye wizara wasitoe mawazo yao.. nadhan hiyo sio sawa, Mawaziri wastaafu wasibagazwe eti kisa na wao wamewahi kuwa Mawaziri. Binafsi nadhan michango ya Mawaziri wastaafu ni muhimu sana na inaonesha misimamo yao na si ajabu misimamo hiyo ndiyo iliyowafanya kutenguliwa...
Rai yangu ni kwamba Mawaziri wastaafu wasisakamwe pindi watoapo michango yao bungeni... mwisho wa siku wote ni wawakilishi wa wananchi.