Waziri Ummy amtaka DED wa Bumbuli kujitathmini kama bado anazo sifa za kuendelea na majukumu yake!

na uyu Ummy nae ni kutokea Bumburi ? Naona azungumzavyo sha sha nyingiii !
 
Orodha ya Wakurugenzi wanaotakiwa kuhitathimini ni kubwa mno.
2. DED bàhi
3. DED chato
4. DED songwe
5. DED kahama
6. DED same
7. DED bukombe
8. DED mbongwe
9. DED ilemela
10. DED misungwi
11. DED tarime
12. DED Moshi DC
13. DED Moshi manispaa ( kaimu)
14. DED arusha DC
15. DED arusha
16. DED kilosa
17. DED ikungi
18. DED monduli
19. DED ilala
20. DEDsimanjiro
21. Ded babati mji
22. DED igunga
23. DED nzega DC
24. DED Geita vijijini
25.. . ....ongezea
 
Kwamba wameota pembe hawa?
 
Wezi wa mali ya umma hawafai kuwa ndani ya serikali. Waondolewe. Wanachelewesha maendeleo ya nchi
Miaka 60 ya uhuru bado mnapitisha bakuli km matonya! !!! unategemea maendeleo gani ufikie ! si bora mfe tu?!! kwa taarifa yako bado mtatiwa naniliu lile kubwa la mkononi bana!!....mnliitaje vile... nimelisahahu!!.... ila mtapigwa hilo kuweni makini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…