Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Mtu atakwambia hakuna covid-19 lakini akifika kwakwe anatasa mikono na kupiga nyungu sasa mwenzangu namimi hata muda wa barakoa hakuna unaumia peupe kabisaKabisa Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu atakwambia hakuna covid-19 lakini akifika kwakwe anatasa mikono na kupiga nyungu sasa mwenzangu namimi hata muda wa barakoa hakuna unaumia peupe kabisaKabisa Mkuu.
Nimeona jana WTO(World Tourism Organization) imezipongeza baadhi ya nchi za E/Africa kwa kupambana vilivyo na Covid na wakasema wata recommend watalii kwenda kwny nchi hizo pindi utalii utakapo rejea tena.Kabisa Mkuu.
Hapohapo tunakomaa na nchi ya Kenya wasitaje uraia wa madereva husika wataokutwa na Covid hahah.Ndiyo maana yake lakini tunadanganywa eti Tanzania is free from COVID-19!!!
Hao wagonjwa wanne (4) waliokuwa wamebaki hakuna aliyepona kati yao? Au wapo ICU?
mkuu mtu wa covid unamjuaje ?
na maabara yenyewe ipo moja tu uko geita mnatumia nini kupima?
au mnatumia vipimo vya maralia
Wagonjwa wapo wa4, nchi nzima kwa mikoa yote 10 iliyobakia na wagonjwa...Kumbe ni mikoa 15 tu ambayo haina wagonjwa wa Corona?.
Je mikoa mingine ina wagonjwa?, na kama wapo ni wangapi?.
Kuwaamini hawa ni sawq na kuamini kuwa malaya anabikira.
basi kwa dalili izo corona ipo toka kale . sababu hakuna kipya hapo mkuu wote tulishaonesha dalili izo na wapo ndugu zetu waliokufa kwa dalili izo miaka ya nyuma na wala hatukushangaa
nimekuelewa
Na wale madereva 198 waliorudishwa kutoka Kenya wakiwa Positive? Wamepona? Au?
ni hatare sana kuwasikiliza hawa wajinga, juzi tuu kafa mfanyakazi mmoja wa CRDB Geita kwa Covid19 wakati wao wanaendelea kuwadanganya watu eti corona haipo
Kuna wengine 8 wamerudishwa kutoka Uganda