Waziri Ummy Mwalimu akanusha taarifa za Tanzania kufunga mpaka na Kenya

NCHI HII MAMBO NI MENGI AISEE ILA HIYO BBC NI OFFICIAL PAGE KWELI? MANAKE IPO NYINGINE NAYO INA WATU WENGI NA SIO OFFICIAL
 
Ni official, naona wameitoa tena.
 
Mwenye mamlaka yote huko wizarani ni mpiga zumari Mabula Mchembe. Hata Ummy anapokea maelekezo kutoka kwake.
 
Reactions: BAK
Habari ipo na video ipo amekana nini ,video ipo
NCHI HII MAMBO NI MENGI AISEE ILA HIYO BBC NI OFFICIAL PAGE KWELI? MANAKE IPO NYINGINE NAYO INA WATU WENGI NA SIO OFFICIAL

MONEY STOP NONSENSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…