Waziri Ummy Mwalimu akanusha taarifa za Tanzania kufunga mpaka na Kenya

Wakuu oneni hii. Je ni hasira? Za mkizi? Mbona ameongea tofauti hadharani?
Ni jambo la mara kwa mara kwa Rais wetu kuongea mengine na kutenda mengine na mifano ipo!
 
Wakuu oneni hii. Je ni hasira? Za mkizi? Mbona ameongea tofauti hadharani?
Ni jambo la mara kwa mara kwa Rais wetu kuongea mengine na kutenda mengine na mifano ipo!
View attachment 1452743
Wapi kasema hivyo? Kwenye hotuba hajaongea hivyo na wala msigwa hajatoa ptess release yoyote inayosema hivyo!
ni mpango mwingine wa wapinzani kujaribu kuvuruga Tz na majirani.
Mtafeli tu!
 
Hiki ndicho nilichoshauri, na sisi hatutaki madereva wao watuletee Corona toka Kenya, hatuna muda wa kupima madereva sisi, wakae huko huko wote! Sasa Maziwa na Sausage zao wale wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…