*CROSS-EXAMINATION*
(1) *Wakili:* Unakubaliana na mimi kuwa tuna maabara moja tu ya kupima virus vya Korona hapa Tanzania.
πΉ *Mheshimiwa* Ndio
(2) *Wakili:* Na unakubaliana na mimi kuwa mahabara hiyo ipo kwenye uchunguzi na hivyo haiwezi fanya kazi kwa Sasa
πΉ *Mheshimiwa* Ndio.
(3). *Wakili:* Unakubaliana na mimi pia hospitali zote pamoja na Aghakan na Regency zinaitegea maabara ya taifa kupima Virusi vya Korona.
πΉ *Mheshimiwa* Ndio.
(4). *Wakili:* Sasa mwambie mheshimiwa hakimu iliwezekana vipi Aghakan kutoa negative na muhimbili positive.
πΉ *Mheshimiwa:* Hata mimi mwenye ninashangaa imetokeaje.
(5). *Wakili:* Pia ieleze mahakama umejuaje kuwa wagonjwa wa wa Virusi vya Korona wamepungua ikiwa maabara ipo kwenye uchunguzi.
πΉ *Mheshimiwa:* Mhe. Hakimu ili swali gumu sana, ninaomba kwanza nishauriane na wataalamu wangu kabla ya kujibu swali hili.