JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Waziri Ummy Mwalimu (kulia) akiwa na mama wa watoto pacha waliotenganishwa
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewatembelea Watoto pacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa na kusema wanaendelea vizuri.
Aliwatembelea Julai 6, 2022 na kusema amefurahishwa na hali za maendeleo ya kiafya ya Watoto hao kuendelea vizuri na kuwapongeza jopo la Madaktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Pia soma>
Muhimbili yasema upasuaji wa watoto pacha umefanyika kwa mafanikio