Waziri Ummy Mwalimu awatembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili, aelezea afya zao

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Waziri Ummy Mwalimu (kulia) akiwa na mama wa watoto pacha waliotenganishwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewatembelea Watoto pacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa na kusema wanaendelea vizuri.

Aliwatembelea Julai 6, 2022 na kusema amefurahishwa na hali za maendeleo ya kiafya ya Watoto hao kuendelea vizuri na kuwapongeza jopo la Madaktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Pia soma>
Muhimbili yasema upasuaji wa watoto pacha umefanyika kwa mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…