Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Kwa mwezi mzima napokea SMS 10 hadi 15 kwenye simu yangu kwa siku zinazosomeka hivi:
" ndugu Shitunguru Bunzali Joseph Umefanikiwa kupata chanjo ya UVIKO- Janssen. Unaweza kuangalia cheti chako cha electronic kupitia link..."
Jumbe hizi zinatumwa kutoka kwenye namba 199, pia majina ya mtu anayetumiwa sms hubadirika wakati namba yangu ya simu ni hii moja. Mimi sijawahi kupewa chanjo yoyote ya uviko sasa hili lundo la sms la nini?
Nimejaribu kuuliza kwa ndugu na jamaa baadhi yao pia wanapokea sms hizi japo hawakupewa chanjo. Akili yangu ndogo inaniamba watumishi wa wizara yako wapo wanapika majina ya watu waliopata chanjo, sasa jiulize nini kitatokea kama wazungu/makampuni yanayotoa hizi chanjo wakija kufuatilia.
Mh. Waziri au watu wako waliomo humu hebu jaribu kufuatilia huu ujinga!