#COVID19 Waziri Ummy Mwalimu: Ipo hatari ya kuingia wimbi la 5 la COVID-19

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi

Akizindua Mpango wa Global Vax amesema, "Tumepita katika Mawimbi manne ya UVIKO-19, tunaendelea kufuatulia kwa karibu mwenendo wa Ugonjwa huu duniani. Katika kipindi cha wiki 5 zilizopita, kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa katika Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, hususan za Kusini mwa Afrika"

========

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua mpango harakishi wa utoaji wa chanjo ya Uviko-19 (Global Vax), akisema tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipozindua chanjo hizo Julai 2021 ni asilimia 15 tu ya Watanzania ndio wamechanja.

Akizungumza leo Juni 2 katika uwanja wa Mwembeyanga jijini hapa, Waziri Ummy amesisitiza kuwa bado ugonjwa huo upo na kuna uwezekano wa kupata wimbi la tano.

“Tangu chanjo imezinduliwa tumeweza kuwachanja, Watanzania milioni 4.6 sawa na asilimia. Wizara tumeweka malengo ifikapo Desemba tuwe tumepata idadi kubwa ya Watanzania walio chanja.

“Leo tunazindua mpango mkakati wa “Global Vax” ilikuweza kuwatayarisha Watanzania kupambana na wimbi litakalokuja,” amesema.

Waziri Ummy, ameeleza katika wiki tano zilizopita wameweza kutambua kunaongezeko kubwa la ugonjwa wa Uviko-19 katika nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, hususani nchi za kusini mwa Afrika

Hata hivyo, ameeleza kutokana na mwingiliano wa kibiashara baina ya Tanzania na nchi nyingine, Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (Tamisemi) wameongeza nguvu na jitihada za kukabiliana na Uviko-19

“Serikali kupitia Wizara ya Afya na kushirikiana na ofisi ya Rais Tamisemi tumeongeza nguvu na jitihada za kukabiliana na Uviko-19 kwa kuwa nchi yetu ipo kwenye hatari ya kukabiliana na wimbi la tano la Uviko-19,” amesema

“Serikali kwa kushirikiana na wadau wetu, Shirika la Afya duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (Unicef) tumeweza kufikia idadi ya kuwa na vituo 7,000 vya kuchanja kutoka vituo 550 Julai 2021,” amesema.

Amesema Serikali imeidhinisha aina tano za chanjo zitumike nchini ambazo ni Janssen, Pfizer, Modern, Sinopharm, na Sinovac.

“Chanjo hizi zimedhibitika kwamba ni salama, zina ubora na ufanisi katika kuwakinga wananchi kupata ugonjwa wa uviko-19 na zimeidhinishwa na shirika la afya duniani,” amesema

Pamoja na hayo, amesema pia Tanzania imepata msaada wa chanjo kutoka serikali ya Marekani, dozi milioni 13.4 ambapo kati ya hizo, dozi milioni 5 tumezipokea kutoka Ubalozi au Serikali ya Marekani.

Chanzo: Mwananchi
 
Waziri Ummy Mwalimu kwa sasa kuna watanzania mamilioni wameshikwa na mafua makali sana sana si mjini si vijijini huo ni ugonjwa gani?​

IMG-20220602-WA0029.jpg
IMG-20220602-WA0028.jpg
IMG-20220602-WA0027.jpg
 
Dj weka ngoma kali ya kuwaleta wakopeshaji... kwa kasi ya 4G,naomba playlist iwe ndefu please....
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi

Akizindua Mpango wa Global Vax amesema, "Tumepita katika Mawimbi manne ya UVIKO-19, tunaendelea kufuatulia kwa karibu mwenendo wa Ugonjwa huu duniani. Katika kipindi cha wiki 5 zilizopita, kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa katika Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, hususan za Kusini mwa Afrika"

========

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua mpango harakishi wa utoaji wa chanjo ya Uviko-19 (Global Vax), akisema tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipozindua chanjo hizo Julai 2021 ni asilimia 15 tu ya Watanzania ndio wamechanja.

Akizungumza leo Juni 2 katika uwanja wa Mwembeyanga jijini hapa, Waziri Ummy amesisitiza kuwa bado ugonjwa huo upo na kuna uwezekano wa kupata wimbi la tano.

“Tangu chanjo imezinduliwa tumeweza kuwachanja, Watanzania milioni 4.6 sawa na asilimia. Wizara tumeweka malengo ifikapo Desemba tuwe tumepata idadi kubwa ya Watanzania walio chanja.

“Leo tunazindua mpango mkakati wa “Global Vax” ilikuweza kuwatayarisha Watanzania kupambana na wimbi litakalokuja,” amesema.

Waziri Ummy, ameeleza katika wiki tano zilizopita wameweza kutambua kunaongezeko kubwa la ugonjwa wa Uviko-19 katika nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, hususani nchi za kusini mwa Afrika

Hata hivyo, ameeleza kutokana na mwingiliano wa kibiashara baina ya Tanzania na nchi nyingine, Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (Tamisemi) wameongeza nguvu na jitihada za kukabiliana na Uviko-19

“Serikali kupitia Wizara ya Afya na kushirikiana na ofisi ya Rais Tamisemi tumeongeza nguvu na jitihada za kukabiliana na Uviko-19 kwa kuwa nchi yetu ipo kwenye hatari ya kukabiliana na wimbi la tano la Uviko-19,” amesema

“Serikali kwa kushirikiana na wadau wetu, Shirika la Afya duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (Unicef) tumeweza kufikia idadi ya kuwa na vituo 7,000 vya kuchanja kutoka vituo 550 Julai 2021,” amesema.

Amesema Serikali imeidhinisha aina tano za chanjo zitumike nchini ambazo ni Janssen, Pfizer, Modern, Sinopharm, na Sinovac.

“Chanjo hizi zimedhibitika kwamba ni salama, zina ubora na ufanisi katika kuwakinga wananchi kupata ugonjwa wa uviko-19 na zimeidhinishwa na shirika la afya duniani,” amesema

Pamoja na hayo, amesema pia Tanzania imepata msaada wa chanjo kutoka serikali ya Marekani, dozi milioni 13.4 ambapo kati ya hizo, dozi milioni 5 tumezipokea kutoka Ubalozi au Serikali ya Marekani.

Chanzo: Mwananchi
Enheee, sasa mwendokasi Mbagala itafufuka.
 
Ummi kipindi cha mwenda zake alikataa kabisa kama kuna ugonjwa unaitwa Corona. Watu wakafa kwa sababu za kisiasa. Leo an kiri tumepita mapigo manne.
Mtu kama huyu kama anaonewa aibu kuambiwa hapa duniani kwamba yeye ni muuaji haita kuwa sawa.
 
Upuuzi kama huu mwamba wa Chato aliukataa,
Sasa hayupo endeleeni kucheza ngoma ya mikopo na chanjo,
Ila msitufungie tu,(lockdown) maana wengine watakufa kwa njaa,
 
“Chanjo hizi zimedhibitika kwamba ni salama, zina ubora na ufanisi katika kuwakinga wananchi kupata ugonjwa wa uviko-19 na zimeidhinishwa na shirika la afya duniani,” amesema

Pamoja na hayo, amesema pia Tanzania imepata msaada wa chanjo kutoka serikali ya Marekani, dozi milioni 13.4 ambapo kati ya hizo, dozi milioni 5 tumezipokea kutoka Ubalozi au Serikali ya Marekani.
Huku tunaambiwa uchanjaji upo at bearers' risk, kuna watu walisumbuliwa na matokeo ya hiyo chanjo pale Morogoro waliporudi hospitali hawakupewa attention, kule zinakotoka chanjo haipo hivyo, kwanini double standards kwa chanjo ileile!?
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi

Akizindua Mpango wa Global Vax amesema, "Tumepita katika Mawimbi manne ya UVIKO-19, tunaendelea kufuatulia kwa karibu mwenendo wa Ugonjwa huu duniani. Katika kipindi cha wiki 5 zilizopita, kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa katika Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, hususan za Kusini mwa Afrika"

========

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua mpango harakishi wa utoaji wa chanjo ya Uviko-19 (Global Vax), akisema tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipozindua chanjo hizo Julai 2021 ni asilimia 15 tu ya Watanzania ndio wamechanja.

Akizungumza leo Juni 2 katika uwanja wa Mwembeyanga jijini hapa, Waziri Ummy amesisitiza kuwa bado ugonjwa huo upo na kuna uwezekano wa kupata wimbi la tano.

“Tangu chanjo imezinduliwa tumeweza kuwachanja, Watanzania milioni 4.6 sawa na asilimia. Wizara tumeweka malengo ifikapo Desemba tuwe tumepata idadi kubwa ya Watanzania walio chanja.

“Leo tunazindua mpango mkakati wa “Global Vax” ilikuweza kuwatayarisha Watanzania kupambana na wimbi litakalokuja,” amesema.

Waziri Ummy, ameeleza katika wiki tano zilizopita wameweza kutambua kunaongezeko kubwa la ugonjwa wa Uviko-19 katika nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, hususani nchi za kusini mwa Afrika

Hata hivyo, ameeleza kutokana na mwingiliano wa kibiashara baina ya Tanzania na nchi nyingine, Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (Tamisemi) wameongeza nguvu na jitihada za kukabiliana na Uviko-19

“Serikali kupitia Wizara ya Afya na kushirikiana na ofisi ya Rais Tamisemi tumeongeza nguvu na jitihada za kukabiliana na Uviko-19 kwa kuwa nchi yetu ipo kwenye hatari ya kukabiliana na wimbi la tano la Uviko-19,” amesema

“Serikali kwa kushirikiana na wadau wetu, Shirika la Afya duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (Unicef) tumeweza kufikia idadi ya kuwa na vituo 7,000 vya kuchanja kutoka vituo 550 Julai 2021,” amesema.

Amesema Serikali imeidhinisha aina tano za chanjo zitumike nchini ambazo ni Janssen, Pfizer, Modern, Sinopharm, na Sinovac.

“Chanjo hizi zimedhibitika kwamba ni salama, zina ubora na ufanisi katika kuwakinga wananchi kupata ugonjwa wa uviko-19 na zimeidhinishwa na shirika la afya duniani,” amesema

Pamoja na hayo, amesema pia Tanzania imepata msaada wa chanjo kutoka serikali ya Marekani, dozi milioni 13.4 ambapo kati ya hizo, dozi milioni 5 tumezipokea kutoka Ubalozi au Serikali ya Marekani.

Chanzo: Mwananchi
Litakuja Hadi wimbi la 10, Bado matano mengine.

Tulishasema HATUCHANJI, vijijini mlipoona chanjo zimewadodea mnawaambia wamama wajawazito wasipochanja hawapati huduma, Mungu anawaona.

Kwa wote waliopigwa hiyo Chapa, na waliowasababishia wengine wachanje Kwa HILA wataanza mmoja baada ya mwingine.

Mungu anailinda TANZANIA, chanjo waachie masonry. Amen
 
Ummi kipindi cha mwenda zake alikataa kabisa kama kuna ugonjwa unaitwa Corona. Watu wakafa kwa sababu za kisiasa. Leo an kiri tumepita mapigo manne.
Mtu kama huyu kama anaonewa aibu kuambiwa hapa duniani kwamba yeye ni muuaji haita kuwa sawa.
Walifanya vibaya sana....
Walisababisha vifo vya watu sana hilo halina ubishi..

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama hapaswi kuwa na kitambulisho cha mtumishi wa imma
 
Hiki ni kipindi cha baridi hasa maeneo ya nyanda za juu....kubanwa kifua na kushuka kwa JOTO
 
Covid-19 ipo na ni shida, siku hizi haitangazwi Sana kutokana na vita ya Russia na Ukraine.
Ushauri
1). Serikali iangalie uwezekano wa kuleta chanjo nyingi za kuchanja mara moja,Kama Jensen and Johnson,hizi chanjo za mara mbili,zinaleta usumbufu,watu wengi hawamalizii awamu ya pili
2). Serikali itoe elimu na iwafuatie kwa karibu watu wanaopaswa kurudia mara ya pili kukamilisha dozi.
3) Serikali itoe ajira kwa watumishi wa Afya kwa nafasi zilizotangazwa March na mwisho wa maombi kuwa April 04 kwa wizara ya Afya na April 08,kwa Tamisemi,ili waende wakaongeze mapambano.Siku hizi kuna technolojia siyo Kama zamani, lakini watendaji wanachukua Mwezi mmoja wanachakata upangaji wa vituo, wakati wananchi tunasubiri huduma, vituoni,au Kuna nini huko.
 
Back
Top Bottom