SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ni wapi au lini Mh. Ummy alikataa kata kata kuwa hakuna COViD-19?Walifanya vibaya sana....
Walisababisha vifo vya watu sana hilo halina ubishi..
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kama nchi yenye uhuru wake wa kujiamlia, na ikaamua kuwa hakuna "Pandemic" kuna athari gani?
Wacheni uongo wa kuwa Hayati JPM na serikali yake ilikataa uwepo wa kirusi hicho. Wacheni.