SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ni wapi au lini Mh. Ummy alikataa kata kata kuwa hakuna COViD-19?Walifanya vibaya sana....
Walisababisha vifo vya watu sana hilo halina ubishi..
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Una maanisha Ummy huyu mbu get wa Tanga...punguza urongo mwaanaume !Ummi kipindi cha mwenda zake alikataa kabisa kama kuna ugonjwa unaitwa Corona. Watu wakafa kwa sababu za kisiasa. Leo an kiri tumepita mapigo manne.
Mtu kama huyu kama anaonewa aibu kuambiwa hapa duniani kwamba yeye ni muuaji haita kuwa sawa.
Covid 19 IPO na itaendelea kuwepo !! Wazee na wale wenye afya mgogoro tuendelee kuchukua tahadhari kadri tunavyoweza!! Na kuchanja ni muhimu sana ! Tusiwasikilize Hao ambao afya zao ni nzuri maana kwao covid 19 ni mafua tu kama mafua mengine lakini kwa wazee na wenye afya mgogoro Covid 19 ni kiboko yetu !! Tuchukue tahadhari kila MTU ashinde mechi zake zilizobaki !!!!Waziri Ummy Mwalimu kwa sasa kuna watanzania mamilioni wameshikwa na mafua makali sana sana si mjini si vijijini huo ni ugonjwa gani?
Achana nao uzuri wa hili jambo wote lipo vibwengo tu ndo wanatabia ya kujadili mtu badala ya issueNi wapi au lini Mh. Ummy alikataa kata kata kuwa hakuna COViD-19?
Kama nchi yenye uhuru wake wa kujiamlia, na ikaamua kuwa hakuna "Pandemic" kuna athari gani?
Wacheni uongo wa kuwa Hayati JPM na serikali yake ilikataa uwepo wa kirusi hicho. Wacheni.
Hamumwa,Achana nao uzuri wa hili jambo wote lipo vibwengo tu ndo wanatabia ya kujadili mtu badala ya issue