Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,949 Reaction score 24,046 Jul 31, 2024 #21 Haya mambo yanamalizwa kisiasa. Ongeeni na Dr Mollel, atoe maagizo muachiliwe. Vinginevyo mtaendelea kulalama tu.
Haya mambo yanamalizwa kisiasa. Ongeeni na Dr Mollel, atoe maagizo muachiliwe. Vinginevyo mtaendelea kulalama tu.
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 2,049 Reaction score 5,449 Jul 31, 2024 #22 Poleni sana mkuu, mkoa wa Tabora licha ya kuwa na utajiri wa maliasili kama asali pia umejaa utajiri wa majungu na fitina. Yaani hata watumishi waliotoka mikoa mingine wakifika na kuishi Tabora na wao wanakua na tabia za majungu na fitina sana.
Poleni sana mkuu, mkoa wa Tabora licha ya kuwa na utajiri wa maliasili kama asali pia umejaa utajiri wa majungu na fitina. Yaani hata watumishi waliotoka mikoa mingine wakifika na kuishi Tabora na wao wanakua na tabia za majungu na fitina sana.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jul 31, 2024 #23 Kambaku said: Nadhani naibu waziri ni bogus zaidi Click to expand... Anapenda ushambenga.
Jeep wrangler JF-Expert Member Joined Jan 7, 2024 Posts 524 Reaction score 1,093 Jul 31, 2024 Thread starter #24 Dr Restart said: Haya mambo yanamalizwa kisiasa. Ongeeni na Dr Mollel, atoe maagizo muachiliwe. Vinginevyo mtaendelea kulalama tu. Click to expand... HUyu alipotoshwa tu
Dr Restart said: Haya mambo yanamalizwa kisiasa. Ongeeni na Dr Mollel, atoe maagizo muachiliwe. Vinginevyo mtaendelea kulalama tu. Click to expand... HUyu alipotoshwa tu
Jeep wrangler JF-Expert Member Joined Jan 7, 2024 Posts 524 Reaction score 1,093 Jul 31, 2024 Thread starter #25 Adverse Effect said: Poleni sana mkuu, mkoa wa Tabora licha ya kuwa na utajiri wa maliasili kama asali pia umejaa utajiri wa majungu na fitina. Yaani hata watumishi waliotoka mikoa mingine wakifika na kuishi Tabora na wao wanakua na tabia za majungu na fitina sana. Click to expand... Wewe unajua sana
Adverse Effect said: Poleni sana mkuu, mkoa wa Tabora licha ya kuwa na utajiri wa maliasili kama asali pia umejaa utajiri wa majungu na fitina. Yaani hata watumishi waliotoka mikoa mingine wakifika na kuishi Tabora na wao wanakua na tabia za majungu na fitina sana. Click to expand... Wewe unajua sana
Jeep wrangler JF-Expert Member Joined Jan 7, 2024 Posts 524 Reaction score 1,093 Aug 1, 2024 Thread starter #26 Dr Restart said: Haya mambo yanamalizwa kisiasa. Ongeeni na Dr Mollel, atoe maagizo muachiliwe. Vinginevyo mtaendelea kulalama tu. Click to expand... Huyo sio mwelewa ni mbishi
Dr Restart said: Haya mambo yanamalizwa kisiasa. Ongeeni na Dr Mollel, atoe maagizo muachiliwe. Vinginevyo mtaendelea kulalama tu. Click to expand... Huyo sio mwelewa ni mbishi
Jeep wrangler JF-Expert Member Joined Jan 7, 2024 Posts 524 Reaction score 1,093 Aug 1, 2024 Thread starter #27 Moisemusajiografii said: Anapenda ushambenga. Click to expand... Ni mnaa sana
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Oct 6, 2024 #28 Chaliifrancisco said: Duh hivi huyo ni waziri au ni kibwengo tu. Mnaomba msaada kwa mtu asie kuwepo? Kama mgonjwa analipishwa posho ya dereva wa ambulance nyie madai yenu atayasikia? Click to expand... Mkuu hii serikali imejaa watu wapuuzi sana. Anaweza kupelekewa majungu tu na akachukua hatua.
Chaliifrancisco said: Duh hivi huyo ni waziri au ni kibwengo tu. Mnaomba msaada kwa mtu asie kuwepo? Kama mgonjwa analipishwa posho ya dereva wa ambulance nyie madai yenu atayasikia? Click to expand... Mkuu hii serikali imejaa watu wapuuzi sana. Anaweza kupelekewa majungu tu na akachukua hatua.