DOKEZO Waziri Ummy Mwalimu, tunaomba uingilie kati, Zahanati ya Hosiana Mission Tabora tunanyanyaswa na uongozi wa mkoa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Haya mambo yanamalizwa kisiasa.

Ongeeni na Dr Mollel, atoe maagizo muachiliwe. Vinginevyo mtaendelea kulalama tu.
 
Poleni sana mkuu, mkoa wa Tabora licha ya kuwa na utajiri wa maliasili kama asali pia umejaa utajiri wa majungu na fitina.

Yaani hata watumishi waliotoka mikoa mingine wakifika na kuishi Tabora na wao wanakua na tabia za majungu na fitina sana.
 
Wewe unajua sana
 
Back
Top Bottom