mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,155 Reaction score 2,704 Sep 4, 2026 #1 Katambi hizo 50,000 si muingize kwenye Mikopo kwa Vijana ? Nani aliekupa hiyo idea ya kuwagawia wasanii na influencer 50,000 ? Hivi CCM mna pesa za kuchezea sana ee
Katambi hizo 50,000 si muingize kwenye Mikopo kwa Vijana ? Nani aliekupa hiyo idea ya kuwagawia wasanii na influencer 50,000 ? Hivi CCM mna pesa za kuchezea sana ee
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,047 Reaction score 16,378 Sep 4, 2026 #2 Rushwa hiyo ya in- direct