Soul21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 210
- 351
Viongozi wamekuwa wakitoa kauli zisizo na vitendo au uhalisia unaowakba wagonjwa. Nimeshuhudia hospitality ya KCMC hata mgonjwa wa ambulance anasubirishwa mapokezi mpaka kujaza taarifa na malipo ya awali
Hili jambo si utani, unaweza kuona mtu wako anafia mapokezi basi wakati mwingine Mungu anasaidia.
Naomba Viongozi wafanye utafiti na waulizi kudhibitisha hili kwani ni hatari kwa ukuaji wa huduma za afya nchini.
Waandishi wa habari pia nao wamelala hawafanyi tena habari za uchuguzi na kuibua uozo wamebaki kusifia na kuimba mapambio tu.
Pia, Dr Samia atazame viongozi wengi wamekuwa wakimlaghai na matamko yasiyo na utendaji au utekelezaji.