OkSio KKKT bali uongozi
Haswa ni ubabaishaji wa mdogo tuUsiseme viongozi, specify kua ni wanasiasa. Hao watu sio wa kuwaamini.
Matamko yao huwa si ya utekelezaji, watendaji wa sekta nyingi nchini hudai maagizo yao hayatekelezeki kwasababu hata wao si wafatiliaji, ni wazee wa matamko tu.
Basi mwambie mama akatekeleze na hiloMama ni mtekelezaji mzuri ila watendaji wake wamekuwa wakauli hewa