Kuna tatizo mahali , hizi zama sii zama hizo , haiwezekani watu wote wapinge tu hivi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
You copied national anthem from South Africa, stop lying you didn't share.
You interfered on other African countries' internal affairs, Uganda and Comoros, you sponsored rebels (Museveni) against Id Amin, until Amin got so irked that he ended up invading Kagera.
Tanzanians resistance to colonialism was scanty compared to Kenya....read history kaka.
its well recorded who fought the white man and who did not. its not a matter of negotiation.
i don't engage historical revisionists.
Ndivyo unavyo aminishwa sio ?? tatuta uzi upo humu , kuna uwezekano mkubwa tu corona iliingia dsm tokea december , kulitokea mlipuko wa ugonjwa wenye sifa hizi hizi za corona 100% serikal ikakanusha, barua ipo humu...sasa hivi watu ndio wanashtuka , kwamba tuko nalo kitambo tu alafu tumeishi fresh , hakuna vifo , hakuna wagonjwa kufurika mahospitaliniImebidi wafute maana makelele ya Miafrika, mkiambiwa muwe wa kwanza kw chanjo mnalalamika, mkiambiwa muw wa mwisho mnasema mnabaguliwa.
Chanjo ni muhimu Afrika zaidi ya sehemu zingine duniani, maana umaskini wetu hatutaweza kumudu hiki kirusi kikitua freshi, wacha kwa sasa bado kinatubip tu.
Kuna msemo wa kiswahili hua twasema "tamaa mbele mauti nyuma" ndio kinacho kunyemelea weweHuyo ndiye kiongozi anayejali wau wake bila kutaka aonekane mzuri, anachukua maamuzi magumu.
ona huu ujingaThe point is, you sissies did not fight for your independence with blood. You were given your independence on a silver plater. For us we had to fight and we lost more than 50,000 people in this fight. So never again compare Kenya with Tanzania when it comes fighting against the white man.
Kwani nyie mmewachangia ngapi hao wazungu? Acha ujinga corona imeanzia kwao na huko kwao ndio kuona effect kubwa sana kwanini wasijaribie huko huko kwao? Ni simple reasoning haihitaji uanze kuazima akili kama unavyofanyaNaomba sana hiyo chanjo ije niwe wa kwanza kujaribisha ili kuokoa bara hili, mpaka leo Waafrika tumekoswa koswa na hiki kirusi, siku ukiskia kimetinga mitaa ya mabanda kama Tandale ndio ujue kiama cha Afrika kitakua kinaanza, wacha leo watu wanabweteka hovyoo. Mitaa ya mabanda hamuwezi kumudu lockdowns kama kule kwa wazungu, mtakufa njaa, hivyo tuombe mzungu agundue chanjo ya kutulinda mapema.
Wanasayansi wa Afrika wamekaa wanasubiri hadi mzungu avumbue dawa, hawachangii kwa chochote, leo profesa wa Ufaransa amejitokeza akisema chanjo ikipatikana itumike Afrika kwanza maana wote wanajua jinsi hali ilivyo huku, maeneo mengi hayana hata maji au huduma za msingi za kijamii uwaweke lockdown utawamaliza.
Waafrika bado sana, acheni kujifanya kichwa ngumu ilhali umaskini umetamalaki, jana tumeona Tanzania inawaomba msaada wa mkopo hao hao wazungu walioathirika, yaani ni kama uende kwa wenye msiba badala utoe mchango wa kuwasaidia, bila aibu unawapa kibakuli cha kuombea msaada.
Wameondoka Tanga March 13 mwingine 18Imagine walikotoka huko Tanga aidha waliacha wameambukiza na pia kumbuka waliambukizwa, kuna mtandao wa waliowaambukiza, hawa Watz huwa wazembe sana. Wanashindwa kufuatilia hizi cases, wamekalia kubeza tunavyopambana.
The point is, you sissies did not fight for your independence with blood. You were given your independence on a silver plater. For us we had to fight and we lost more than 50,000 people in this fight. So never again compare Kenya with Tanzania when it comes fighting against the white man.
unajua Historia ya Tanzania vizuri wewe?..Wakenye mpo namna gani mbona mnafunua sana ujinga wenu?wacha kujiaibisha kaka, Kenyans were militarily resisting the British empire as early as 1800s to 1958 with the mau mau until independence,
Nyinyi mlikuwa vibaraka vya wajerumani, hata hamkuwajibu, na walikuwa dhaifu sana ukilinganisha na waingereza...
Nasikiliza taarifa ya habari hapa , wananchi DRC wamekosoa vikali mno kuhusu viongozi wao kukubali chanjo ifanyike kwao,Huyo ndiye kiongozi anayejali wau wake bila kutaka aonekane mzuri, anachukua maamuzi magumu.
Kuna taarifa, na ndiyo ukweli, kwamba kuanzia Nov, 2019 hadi Jan, 2020 kulikuwa na mafua makali duniani, hata huku Tz, hasa Dar ambayo waliougua walipona bila kuwekwa karantini. Mimi ni mmoja wao ambaye nilipougua hayo mafua nilikuwa na dalili zote za korona (kwa sasa). Tuamini kuwa madhara ya COVID-19 yanakuzwa pasipo sababu za msingi, au kwa kuwa wazungu wanakufa isivyo kawaida?Naomba sana hiyo chanjo ije niwe wa kwanza kujaribisha ili kuokoa bara hili, mpaka leo Waafrika tumekoswa koswa na hiki kirusi, siku ukiskia kimetinga mitaa ya mabanda kama Tandale ndio ujue kiama cha Afrika kitakua kinaanza, wacha leo watu wanabweteka hovyoo. Mitaa ya mabanda hamuwezi kumudu lockdowns kama kule kwa wazungu, mtakufa njaa, hivyo tuombe mzungu agundue chanjo ya kutulinda mapema.
Wanasayansi wa Afrika wamekaa wanasubiri hadi mzungu avumbue dawa, hawachangii kwa chochote, leo profesa wa Ufaransa amejitokeza akisema chanjo ikipatikana itumike Afrika kwanza maana wote wanajua jinsi hali ilivyo huku, maeneo mengi hayana hata maji au huduma za msingi za kijamii uwaweke lockdown utawamaliza.
Waafrika bado sana, acheni kujifanya kichwa ngumu ilhali umaskini umetamalaki, jana tumeona Tanzania inawaomba msaada wa mkopo hao hao wazungu walioathirika, yaani ni kama uende kwa wenye msiba badala utoe mchango wa kuwasaidia, bila aibu unawapa kibakuli cha kuombea msaada.
The British themselves admitted the Mau Mau resistance depleted their resources and morale and did not wish any longer to fight. The Mau Mau who were in the forest continued armed resistance until 1963. More specifically, the British had to spend enormous financial resources to build concentration camps where they took women and children to stay. They had to provide security to these people. They had to provide food. They had to pay the homeguards. They had to build prisons and internment camps where the men were taken.The fact is, both Tanzanians and Kenyans periodically had violent confrontations with their colonial masters -- unsuccessful resistances, such as:
• Maji Maji war - Tanzania, as well as;
• Mau Mau war - Kenya.
Neither of East African states gained its independence as the result of a successful military campaign.
I quote: "Between 1952 and 1956, the British defeated Mau Mau through a brutal campaign of military action and widespread detention of the Kikuyu"
Trust me, Covid sio mafua. Covid inafanya mtu anapata pneumonia. Mafua haileti pneumonia. Wacha umbeaKuna taarifa, na ndiyo ukweli, kwamba kuanzia Nov, 2019 hadi Jan, 2020 kulikuwa na mafua makali duniani, hata huku Tz, hasa Dar ambayo waliougua walipona bila kuwekwa karantini. Mimi ni mmoja wao ambaye nilipougua hayo mafua nilikuwa na dalili zote za korona (kwa sasa). Tuamini kuwa madhara ya COVID-19 yanakuzwa pasipo sababu za msingi, au kwa kuwa wazungu wanakufa isivyo kawaida?
It's anecdotal but I've heard from MANY people who say they had a pretty serious covid-like illness in December, January, or February. Just as I did. Many say they tested negative for flu. Did the horse leave the barn months ago and we're decimating the economy for no reason? (Matt Walsh, 06 Apr 20)
You sound more like a below average intellectual. Kindly, from this point onwards, try to be reasonable.
It was just a song, and never was a national anthem of any nation until 1961 when it officially was the national anthem of Tanganyika, then Tanzania in 1964.
Having its origin in South Africa doesn't in any way make it South African national anthem. Its equally claiming that, since Jay-Z is of African lineage, he is African, and not American.
To be brutally frank, you must be extremely retarded if the later logic is your pick.
Wameondoka Tanga March 13 mwingine 18
aya sasa siku zote hizo waje kuonekana jana, kwahiyo waliipatia Tanga au Zanzibar hiyo Corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuonekana inategemea na uwezo wenu wa kupima, kumbuka mna maabara moja tu inategemewa kote, hamna uwezo wa kupima watu wengi kwa mkupuo kama sisi huku. Hivyo kuna sampuli nyingi zimesongamana kwenu zinasubiri kupimwa, unaweza ukakuta hata mtu tangu achukuliwe sampuli anapona ndani ya wiki mbili kabla sampuli zake hazijafikiwa.