Waziri wa afya Kenya apongezwa na magazeti ya Ulaya kwa jinsi anajituma na kuwa muwazi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Waziri amekua akieleza kama ilivyo bila kuremba, jana ametoa tahadhari kwa vijana wakiendelea kupuuza na kuchukulia poa hiki kirusi, wataisha kuwazika wazazi wao wote.

==============================

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe addresses a press conference on Covid-19 in Nairobi in March 2020

FILE
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has earned international recognition after New York-based publication Wall Street Journal recognised him as a hero in the fight against Covid-19.

In a Weekend article dated April 4-5, 2020, titled, "Thank God for Calm, Competent Deputies" under the subtitle "In This Crisis, the Deputies are the Heroes We Need", Kagwe is defined as one of the best handlers of the pandemic in the world.

Ranked among few other leaders from around the world, among them a doctor from South Korea and another from the UK, the media outlet stated that they had risen from the shadows to take control of a pandemic, members of the public would have only looked to elected officials.

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe when he held a consultative meeting on Covid-19 response with officials from the ministry, the Kenya Healthcare Federation and CEOs from the Kenya Association of Private Hospitals at Afya House on Thursday, March 26, 2020.

"The leaders who have distinguished themselves under pressure are rarely the bold, charismatic, impulsive, self-regarding, politically calculating alphas we have elected. The real heroes have been, for lack of a better term, career deputies," the publication states.

The news outlet further describes Kagwe as a leader whose character and personality was thought as not political but now built for the health ministry and the fight against Covid-19.

Thank God for CS Mutahi Kagwe - US Publication
 
So mlikuwa mnasubiri msifiwe na hao wanaotaka kututumia tufanyiwe majaribio ya chanjo, ndio roho yenu isuuzike.

Kenyans don't be like that guys.

Naomba sana hiyo chanjo ije niwe wa kwanza kujaribisha ili kuokoa bara hili, mpaka leo Waafrika tumekoswa koswa na hiki kirusi, siku ukiskia kimetinga mitaa ya mabanda kama Tandale ndio ujue kiama cha Afrika kitakua kinaanza, wacha leo watu wanabweteka hovyoo. Mitaa ya mabanda hamuwezi kumudu lockdowns kama kule kwa wazungu, mtakufa njaa, hivyo tuombe mzungu agundue chanjo ya kutulinda mapema.

Wanasayansi wa Afrika wamekaa wanasubiri hadi mzungu avumbue dawa, hawachangii kwa chochote, leo profesa wa Ufaransa amejitokeza akisema chanjo ikipatikana itumike Afrika kwanza maana wote wanajua jinsi hali ilivyo huku, maeneo mengi hayana hata maji au huduma za msingi za kijamii uwaweke lockdown utawamaliza.

Waafrika bado sana, acheni kujifanya kichwa ngumu ilhali umaskini umetamalaki, jana tumeona Tanzania inawaomba msaada wa mkopo hao hao wazungu walioathirika, yaani ni kama uende kwa wenye msiba badala utoe mchango wa kuwasaidia, bila aibu unawapa kibakuli cha kuombea msaada.
 
hongera sn mzee kagwe
..uko very calm nd collected, haukurupuki kurupuki kama maharagwe ya mbeya![emoji23]
alf waswahili wamefikia wapi kwenye kuzungusha kibakuli msibani huko kwa mabeberu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri amekua akieleza kama ilivyo bila kuremba, jana ametoa tahadhari kwa vijana wakiendelea kupuuza na kuchukulia poa hiki kirusi, wataisha kuwazika wazazi wao wote.

==============================

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe addresses a press conference on Covid-19 in Nairobi in March 2020

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe addresses a press conference on Covid-19 in Nairobi in March 2020
FILE
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has earned international recognition after New York-based publication Wall Street Journal recognised him as a hero in the fight against Covid-19.

In a Weekend article dated April 4-5, 2020, titled, "Thank God for Calm, Competent Deputies" under the subtitle "In This Crisis, the Deputies are the Heroes We Need", Kagwe is defined as one of the best handlers of the pandemic in the world.

Ranked among few other leaders from around the world, among them a doctor from South Korea and another from the UK, the media outlet stated that they had risen from the shadows to take control of a pandemic, members of the public would have only looked to elected officials.

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe when he held a consultative meeting on Covid-19 response with officials from the ministry, the Kenya Healthcare Federation and CEOs from the Kenya Association of Private Hospitals at Afya House on Thursday, March 26, 2020.

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe when he held a consultative meeting on Covid-19 response with officials from the ministry, the Kenya Healthcare Federation and CEOs from the Kenya Association of Private Hospitals at Afya House on Thursday, March 26, 2020.
FILE
"The leaders who have distinguished themselves under pressure are rarely the bold, charismatic, impulsive, self-regarding, politically calculating alphas we have elected. The real heroes have been, for lack of a better term, career deputies," the publication states.

The news outlet further describes Kagwe as a leader whose character and personality was thought as not political but now built for the health ministry and the fight against Covid-19.

Thank God for CS Mutahi Kagwe - US Publication

.....is that what draws happiness from you🤔?

Among many other good things, I am forever greatful to the almighty God for having been born without an accidental birth of being a Kenyan.

Kenyans are ridiculously subservient to the white people. Are you guys born with an intrinsic stupidity, or what?
 
Ukianza kupongezwa na vyombo vya kimagharibi unatakiwa ujiangalie unakosea wapi, na ukiona unakosolewa sana na media zao inabid ukaze uko katika right track
Poleni sana bendera fata upepo
 
Naomba sana hiyo chanjo ije niwe wa kwanza kujaribisha ili kuokoa bara hili, mpaka leo Waafrika tumekoswa koswa na hiki kirusi, siku ukiskia kimetinga mitaa ya mabanda kama Tandale ndio ujue kiama cha Afrika kitakua kinaanza, wacha leo watu wanabweteka hovyoo. Mitaa ya mabanda hamuwezi kumudu lockdowns kama kule kwa wazungu, mtakufa njaa, hivyo tuombe mzungu agundue chanjo ya kutulinda mapema.

Wanasayansi wa Afrika wamekaa wanasubiri hadi mzungu avumbue dawa, hawachangii kwa chochote, leo profesa wa Ufaransa amejitokeza akisema chanjo ikipatikana itumike Afrika kwanza maana wote wanajua jinsi hali ilivyo huku, maeneo mengi hayana hata maji au huduma za msingi za kijamii uwaweke lockdown utawamaliza.

Waafrika bado sana, acheni kujifanya kichwa ngumu ilhali umaskini umetamalaki, jana tumeona Tanzania inawaomba msaada wa mkopo hao hao wazungu walioathirika, yaani ni kama uende kwa wenye msiba badala utoe mchango wa kuwasaidia, bila aibu unawapa kibakuli cha kuombea msaada.

Suala ni jinsi walivyoongea, inaonesha hata chanjo hawaiamini. Kingine ukute wana wivu why hatujapigika kama wao na population yao ndio hivyo inapunguzwa na Corona.

Alafu wewe bro mbona umegeuka maneno yako au ndio kukata tamaa.

Ulisema mafua sio kitu kwa mwafrika aliyezoea shuruba mbalimbali.

Wanasayansi wetu sio kosa kufeli, serikali bahili kwenye hela ya utafiti. Sio kila kitu mzungu mzungu, itapendeza waanze na waitaly, suala sijui miili tofauti halikubaliki kwani inapiga pale pale, na kazi ya chanjo ni moja kwa miili yote.

Hatujakataa chanjo, ila hawako on right time, kwao ndio kunaaungua waanze nao.

Tusijidharau hivyo mzee.
 
Bado nina msimamo ule ule kwamba Waafrika miili yetu kiaina fulani tumezoea tabu hadi madude kama mafua sio tishio, unawezakuta hata hiki kirusi kilishatinga mitaani watu wanaumwa mafua na kuendelea na shughuli zao bila issue, maana hata waliogunduliwa kuwa nacho, bado hatuskii vifo vya ajabu ajabu kama kule kwa wale. Hapa Kenya tunapima watu wengi kwa mkupuo, na hadi sasa tuna vifo viine tu, ni wazi kuna sababu fulani hakitudondoshi kama Ulaya.
Lakini pia tusibweteke maana mpaka ipatikane taarifa ya kisayansi kwa nini Afrika hatufi kwa maelfu, tuendelee kuchukua tahadhari.

Kingine, maana ya chanjo ni kinga, unakinga mwili ambao haujaathirika, Waitaly leo hauwezi ukajua nani ameathrika au nani bado, ila hapa Afrika tuko bikira, inawezekana kuna wengi ambao hatujaathirika, na hatujui ya kesho, hivyo kama chanjo ikipatikana, tuichangamkie na kuokoa watu wetu, maana kwa kweli kikianza kutesa Afrika kama kinavyofanya Italy, miili itaoza bila kupata wa kuizika maana tutakua tunakimbiana ndugu kwa ndugu, mzazi kwa wanae.

Mimi niko radhi kujaribisha hiyo chanjo, ikigoma sawa, ikifaulu nitakua nimepata fursa ya kuokoa bara lote na dunia. Tuacheni kuwasema wazungu kisa wanajaribu kutusaidia, wangekua na nia mbaya hawawezi kuisema kwenye TV, anatekwa Mwafrika mmoja tu na kufanyiwa mambo kwenye maabara.
 
Anastahili kongole, hata kutoka kwetu sisi wakenya. Kwenye hili janga la Corona amekuwa muwazi sana na 'very proffesional'. Kila mkenya anamtazama na kungoja muongozo wake na hajatuangusha hadi sasa hivi. Kila siku jioni anatoa updates na maagizo mapya, sio mzaha ni kibarua kigumu. Ila hajawa mbabe na anawapa wadogo zake na wataalamu pia nafasi ya kufanya kazi zao. Sema waafrika kasumba yetu ni kwamba sifa zisizokuwa za kinafik huwa tunazimimina tu wakati wa mazishi.
 
Hatulali leo kwa kelele, wakenya wamesifiwa na wazungu.

Ummy si hao tu, hata jiwe hawezi kumsifu. Bila shaka hata wewe kama ni objective huwezi kumsifu.

Kwani hizi ficha ficha zinataka degree kuzing'amua? Hata mbechile tu ataona hilo.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Waziri Mkenya yuko vizuri.
 
Ujuha wa kiwango cha lami. Nani kapea lijarida ndogo la wsj mamlaka ya kusahihisha kazi ya mawaziri? wanaujuzi upi mbali na ngozi nyeupe?
Ingekuwa NewyorkTimes, CNN, Fox, washintonpost tungekaa tujadili lakini sio gutterpress
 
Naomba sana hiyo chanjo ije niwe wa kwanza kujaribisha ili kuokoa bara hili, mpaka leo Waafrika tumekoswa koswa na hiki kirusi, siku ukiskia kimetinga mitaa ya mabanda kama Tandale ndio ujue kiama cha Afrika kitakua kinaanza, wacha leo watu wanabweteka hovyoo. Mitaa ya mabanda hamuwezi kumudu lockdowns kama kule kwa wazungu, mtakufa njaa, hivyo tuombe mzungu agundue chanjo ya kutulinda mapema.

Wanasayansi wa Afrika wamekaa wanasubiri hadi mzungu avumbue dawa, hawachangii kwa chochote, leo profesa wa Ufaransa amejitokeza akisema chanjo ikipatikana itumike Afrika kwanza maana wote wanajua jinsi hali ilivyo huku, maeneo mengi hayana hata maji au huduma za msingi za kijamii uwaweke lockdown utawamaliza.

Waafrika bado sana, acheni kujifanya kichwa ngumu ilhali umaskini umetamalaki, jana tumeona Tanzania inawaomba msaada wa mkopo hao hao wazungu walioathirika, yaani ni kama uende kwa wenye msiba badala utoe mchango wa kuwasaidia, bila aibu unawapa kibakuli cha kuombea msaada.
Nakubaliana na wewe kabisa. Mimi nipo tayari kujaribishwa hio chanjo.
Nimekuwa nawashangaa sana waafrica wanaolalamika na kukataa chanjo isifanyike afrika. . Ila kama kutatokea kiongozi mwenye maono atawakaribisha wataalamu waje wafanya majaribio kwneye nchi yake
 
Kiongozi wa DRC amewaalka tayari japo ametukanwa Afrika yote.
 
Back
Top Bottom