RESOLVED KERO Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Mtumishi katika Kituo cha Afya Kigamboni (Ferry karibu na Kituo cha Polisi Mzizima), uongozi kutumia vibaya madaraka yao kwa kujilipa stahiki zisizo sahihi mfano; wanajilipa hela za doctors OnCall allowance wakati hawaingii hizo call (viongozi hao ni mganga mfawidhi, Katibu wa Afya, Matroni wa Kituo na Mhasibu).

Kujilipa fedha za Bima ya afya (10% inayotakiwa kulipwa kwa Watumishi wote waliwaoona wagonjwa, hii ni moja ya makubaliano kwenye mkataba, kituo ilichoingia na Bima ya Afya NHIF, ila wamekuwa wakijiweka kwenye majina ya wanaolipwa fedha za Bima dhahiri wakijua sio sahihi.

Hivyo, kupelekea huduma za Bima kuzorota na kukatisha watu tamaa ya kusaini fomu za Bima. Pesa hizo za On Call zinalipwa kwa kususua na kwa kiasi ambacho sio sahihi, tunadai fedha za OnCall kwa muda wa miezi nane (kuanzia wa saba mwaka 2025 mpaka wa pili 2026).

Wiki iliyopita walilipa OnCall ya mwezi mmoja wa kumi tu, hizo zilizopita ziko wapi? Na kwa nini walitupa on call iliyopita kwa flat rate ya laki tano wakati on call watu waliingia nyingi kuliko hicho kiasi?

NB: Majibu ya uongozi ni kuwa on call haziji kwa wakati na wanalipa kwa rate ya zamani. Swali langu kwa Wizara ya Afya, je ni kweli On call mnalipa kwa kuchelewa na mnatoa kwa rate ya zamani? Muongozo wenu unasema ni rate mpya, kwa nini tupewe rate ya zamani?)

Malalamiko haya yanafahamika na ofisi ya DMO na Mkurugenzi ila hakuna hatua iliyochukuliwa (tunahisi nao wapo kwenye mgao wa hizi fedha ndio maana haki zetu hatupati na hatusikilizwi).

Kutokuwa wa wazi kwenye fedha za wanafunzi wa afya (wanatoka katika vyuo vya Afya Shirikishi) Mf. Kigamboni City College, Mikwambe City, College n.k wanaokuja kufundishwa hapa kituoni.

Makubaliano tuliyokubaliana katika vikao vya Watumishi, fedha ya Wanafunzi ya mwaka 2025 vyuo walilipa lakini hospitali haikulipa watumishi wake kama ilivyokubaliana nao.

Mwaka uliopita wa fedha, fedha za wanafunzi zilitumikaje na zilibaki kiasi gani? Maswali haya uongozi huu wa kituo hautaki kuyasikia na hawataki kuyajibia.

Kutolipwa fedha za Overtime kama inavyohitajika mfano; fedha zile za Mwaka wa fedha uliopita hazikulipwa zote na mpaka sasa hakuna majibu ya lini tutapewa zilizobaki.

Mwisho wa kulipwa overtime ni Septemba au Oktoba, miezi iliyobaki hatujalipwa mpaka sasa na nasikia hakuna kifungu Cha kulipa, matarajio hapa ni mpaka mwaka mwingine wa fedha

Tunaomba kujua Shilingi Milioni 18 zilizoletwa na Serikali kwa ajili ya kuboresha Chumba cha MVA hapa Kituoni zilitumikaje na kiasi gani kilibaki? Ujenzi hauendani na thamani halisi ya fedha.

Viongozi wa hospitali kujilipa hela za supervision wakati kuonekana kwenye hizo supervision ni mara chache na wanalipa kwa flat rate ya Shilingi 300,000.

Kuna watu wanakatwa overtime kwa kutokuwepo kazini siku husika lakini mbona wao viongozi hawakatani hela za supervision.

WITO WETU
Ofisi ya Waziri wa Afya kushirikiana na Ofisi ya Waziri wa TAMISEMI, kutatua kero zetu hizi kwa haraka na kwa uwazi, ili kuongeza ufanisi wa kazi, morali kazini, ustawi mzuri wa afya zetu kiakili, kifamilia na kimwili.

Waangalie mpaka na akaunti za benki, (madokezo yaliyosainiwa kwa mkono na pesa kupewa mkononi) wahusika kujirithisha na yanayosemwa.

Pia soma ~
Mrejesho kuhusiana na taarifa kuhusiana na Kituo cha Afya Kigamboni: Hatua zimechukuliwa, asanteni JamiiForums
 
Kina usumbufu mkubwabna wafanyakazi waliokosa weledi na taaluma
 
Mkuu me nashauri DMO akupe uongozi wa icho kituo unaonekana n kiongozi mzuri na mfatiliaji wa mambo kituo kitapaa sana kimapato 😅
 
Bi Tozo si alisema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake?

Ndiyo waanatekeleza kwa vitendo
 
Sema huu uzi umenifungua macho, watumishi wa afya mnapiga pesa ndefu aise, madai yako yote bila mshahara yanafika 1M per month
 
kama hao viongozi wa hospital yenu ni thithiemu mind youu hawatofanywa chochote wala lolote,,,

na wew tafuta namna mwanetu, umasikini sio dili
 
Na walimu na nyinyi mdai hizi stahiki! Haiwezekani mnafundisha remedial classes, mnashika zamu mpaka usiku, na mwisho wa mwezi mnalipwa mishahara tu.
 
Sema huu uzi umenifungua macho, watumishi wa afya mnapiga pesa ndefu aise, madai yako yote bila mshahara yanafika 1M per month
Kaka' tulia hivyo hivyo' 😂😂 na Kuna watu wanawatusi watumishi wa Umma bado... Wenzie Kila baada ya 3 months wanakunja mpaka 3M kama posho out ya mshahara na hichi ndio kinaleta kizaa saa humo kwenye hizo Idara hasa Afya
 
Wahusika wayafanyie kazi haya malalamiko,na wahusika wachukuliwe hatua stahiki,ni kwa njia hii pekee tutaweza kurudisha nidhamu serikalini
 
Kaka' tulia hivyo hivyo' 😂😂 na Kuna watu wanawatusi watumishi wa Umma bado... Wenzie Kila baada ya 3 months wanakunja mpaka 3M kama posho out ya mshahara na hichi ndio kinaleta kizaa saa humo kwenye hizo Idara hasa Afya
Hao ni wakubwa tu mzee,kama alivyo ainisha mleta mada..lakini majority wanasuffer kama ambavyo mleta mada kaelezea.

Hizo hela mara nyingi zinapigwa na wafawidhi wa vituo,Muhasibu na Aidha patron ama matroni.

Na wakisema waigawanye kwa haki kwa wote,,wataambulia kidogo kidogo tu..nina hyo experience maana nafanyia kazi idara ya afya huku Halmashauri.
 
Mimi ni Mtumishi katika Kituo cha Afya Kigamboni (Ferry karibu na Kituo cha Polisi Mzizima), uongozi kutumia vibaya madaraka yao kwa kujilipa stahiki zisizo sahihi mfano; wanajilipa hela za doctors OnCall allowance wakati hawaingii hizo call (viongozi hao ni mganga mfawidhi, Katibu wa Afya, Matroni wa Kituo na Mhasibu).

Kujilipa fedha za Bima ya afya (10% inayotakiwa kulipwa kwa Watumishi wote waliwaoona wagonjwa, hii ni moja ya makubaliano kwenye mkataba, kituo ilichoingia na Bima ya Afya NHIF, ila wamekuwa wakijiweka kwenye majina ya wanaolipwa fedha za Bima dhahiri wakijua sio sahihi.

Hivyo, kupelekea huduma za Bima kuzorota na kukatisha watu tamaa ya kusaini fomu za Bima. Pesa hizo za On Call zinalipwa kwa kususua na kwa kiasi ambacho sio sahihi, tunadai fedha za OnCall kwa muda wa miezi nane (kuanzia wa saba mwaka 2025 mpaka wa pili 2026).

Wiki iliyopita walilipa OnCall ya mwezi mmoja wa kumi tu, hizo zilizopita ziko wapi? Na kwa nini walitupa on call iliyopita kwa flat rate ya laki tano wakati on call watu waliingia nyingi kuliko hicho kiasi?

NB: Majibu ya uongozi ni kuwa on call haziji kwa wakati na wanalipa kwa rate ya zamani. Swali langu kwa Wizara ya Afya, je ni kweli On call mnalipa kwa kuchelewa na mnatoa kwa rate ya zamani? Muongozo wenu unasema ni rate mpya, kwa nini tupewe rate ya zamani?)

Malalamiko haya yanafahamika na ofisi ya DMO na Mkurugenzi ila hakuna hatua iliyochukuliwa (tunahisi nao wapo kwenye mgao wa hizi fedha ndio maana haki zetu hatupati na hatusikilizwi).

Kutokuwa wa wazi kwenye fedha za wanafunzi wa afya (wanatoka katika vyuo vya Afya Shirikishi) Mf. Kigamboni City College, Mikwambe City, College n.k wanaokuja kufundishwa hapa kituoni.

Makubaliano tuliyokubaliana katika vikao vya Watumishi, fedha ya Wanafunzi ya mwaka 2025 vyuo walilipa lakini hospitali haikulipa watumishi wake kama ilivyokubaliana nao.

Mwaka uliopita wa fedha, fedha za wanafunzi zilitumikaje na zilibaki kiasi gani? Maswali haya uongozi huu wa kituo hautaki kuyasikia na hawataki kuyajibia.

Kutolipwa fedha za Overtime kama inavyohitajika mfano; fedha zile za Mwaka wa fedha uliopita hazikulipwa zote na mpaka sasa hakuna majibu ya lini tutapewa zilizobaki.

Mwisho wa kulipwa overtime ni Septemba au Oktoba, miezi iliyobaki hatujalipwa mpaka sasa na nasikia hakuna kifungu Cha kulipa, matarajio hapa ni mpaka mwaka mwingine wa fedha

Tunaomba kujua Shilingi Milioni 18 zilizoletwa na Serikali kwa ajili ya kuboresha Chumba cha MVA hapa Kituoni zilitumikaje na kiasi gani kilibaki? Ujenzi hauendani na thamani halisi ya fedha.

Viongozi wa hospitali kujilipa hela za supervision wakati kuonekana kwenye hizo supervision ni mara chache na wanalipa kwa flat rate ya Shilingi 300,000.

Kuna watu wanakatwa overtime kwa kutokuwepo kazini siku husika lakini mbona wao viongozi hawakatani hela za supervision.

WITO WETU

Ofisi ya Waziri wa Afya kushirikiana na Ofisi ya Waziri wa TAMISEMI, kutatua kero zetu hizi kwa haraka na kwa uwazi, ili kuongeza ufanisi wa kazi, morali kazini, ustawi mzuri wa afya zetu kiakili, kifamilia na kimwili.

Waangalie mpaka na akaunti za benki, (madokezo yaliyosainiwa kwa mkono na pesa kupewa mkononi) wahusika kujirithisha na yanayosemwa.
Mzee TAMISEMI ni pagumu na usifikiri hizo hela anazo DMo wako au MOI wako ndio Manaa wanakubania siku ukipewa huo uDMO au MOI hapo uiipo utalia hadi kamasi
 
Ndo maana nimemwambia anaonekana n kiongozi mzuri afu anajua kufatilia DMO wake ampe uMOI aongoze kituo
 
Back
Top Bottom