Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
RIP sis Angel,
Jirani, dada, mwanamazoezi mwenzangu leo umelala nyumba yako ya milele. Mh Waziri wa Afya narudia kuwapongeza humu niliwahi kuandika vitendo vya hospitali Kijitonyama juu ya mzee wangu mkafuatilia na wahusika wakakutana na waliyoyatafuta.
Leo naja na kisa hiki cha kuhuzunisha; tar 9 Jan jirani yangu Angel Moshi alipata ajali Masana Hospital na pikipiki akakimbizwa na wasamaria wema na bajaji.
Daktari wa zamu Lugalo akaita wahusika pembeni kukawa na kadalili cha kuomba rushwa akajulishwa huu ni msaada tumempa wahusika wanakuja.
Dkt akakataa kumpokea na kudai bila PF3 hapokelewi.
Mmoja wa waliomsaidia akaomba apokelewe ahudumiwe anaenda leta PF3, dkt akagoma kabisa bajaji ile ikampeleka palestina hospt. Huko mauti ikamkuta.
Tunaomba haya mambo ya PF3 tuweke hospt hizi docs zikiwa zimesainiwa kusubiri kuandika tarehe na majina else tutaua wengi sanaaa. Nakumbuka Mh. aliepita alipiga marufuku hosp kutopokea mgonjwa wakitaka PF3. Aliomba ahudumiwe PF3 ije baadaye.
Leo nimesikitika sana kuona dada aliepambana na maisha yake anaondoka duniani kwa uzembe wa PF3.
Mh.Waziri hili swala lipo pale hospt naamini ndugu wamepeleka malaamiko.
Inasikitisha unakataa kumhudumia mgonjwa akiwa hai, anakufa analetwa Lugalo kuhifadhiwa madkt mnampokea haraka akiwa mauti.
Hii ni laana na dhambi ya kuikataa mapema kabla amjatumaliza ndugu zetu.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.
Rip Angel M.