Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu anawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu anawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu yuko mubashara TBC na Channel ten akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/21

Up dates:
 
Bajeti huwa ni makisio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao.

Issue ya dona kantre, nadhani 'raia namba 1' alimaanisha sisi unga wa dona ndio chakula chetu kikuu.

Na mara zote tunakisia makisio baab kubwa kwa kuongeza au kubadilisha tarakimu kadhaa hasa hasa Zero kwenye Excel sheets bila kuangalia uhalisia mitaani...!!
Mwisho tunajikuta tuna "paper-tiger" nzuri sana isiyoweza kutekelezeka!!
Alafu kwa miaka ya hivi karibuni tumekithiri kufanya matumizi mengi yaliyo nje ya bajeti (kwa maelekezo toka juu)!!
 
kuna mbunge wa chadema analalamika usiri wa taarifa za corona na watu kuzikwa usiku, channel ten wanaanza kuchezea camera inaandika no sevice na sauti inakata kata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu yuko mubashara TBC na Channel ten akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/21

Up dates:
Namsikia sasa hivi msemaji wa kambi ya upinzani akilalamika kwamba serikali inaficha takwimu za vifo vinavyotokana na ugonjwa wa corona.anadai eti serikali inazika watu usiku kwa usiku.wapinzani mna uhakika kweli au ndio mnapinga kila kitu
 
yani wewe hujawahi kuona hata video moja kati ya zaidi ya 10 zilizotumwa mitandaoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu yuko mubashara TBC na Channel ten akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/21

Up dates:
Kama last year aliidhinishiwa 100% lakini akaishia kupata only 15% .kuna tofauti gani this time ?! .

Odhis *
 
Back
Top Bottom