Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu anawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu anawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake

Na mara zote tunakisia makisio baab kubwa kwa kuongeza au kubadilisha tarakimu kadhaa hasa hasa Zero kwenye Excel sheets bila kuangalia uhalisia mitaani...!!
Mwisho tunajikuta tuna "paper-tiger" nzuri sana isiyoweza kutekelezeka!!
Alafu kwa miaka ya hivi karibuni tumekithiri kufanya matumizi mengi yaliyo nje ya bajeti (kwa maelekezo toka juu)!!
Ni kweli kabisa Mkuu, hii ya bunge letu sijui hata tuuiteje kwa kuwa haiakisi maana halisi ya neno bajeti na kibaya zaidi ni hicho cha kufanya matumizi nje ya bajeti.
 
Kuna mbunge mmoja analalamika akidai kwamba ni gharama kumpima mtu mmoja ni 120000 kumlisha kumuhudumia dawa na vifaa ni over 1500000
 
Hivi huwa dada ni mbunge wa jimbo gani vile!?
 
Wabunge leo wamechafukwa kila anaepewa nafasi lazima atumie dakika moja kumjadili mbowe..
 
Vp nayeye mikono yake haitetemeki ovyo..
 
Wabunge leo wamechafukwa kila anaepewa nafasi lazima atumie dakika moja kumjadili mbowe..

Huyo DJ hana cha kuishauri Serikali yeye kama angekuwa na msimamo thabiti angejumuishwa kwenye mambo ya Serikali, wao wamekalia kukandia kila kitu. Waangalie mifano hai mataifa yote hivi sasa wapinzani na wanaotawala wanashirikiana kuona ugonjwa huu unamilikiwa na hakuna vifo vya raia. lakini wao wamekalia kupata ujiko kwamba waliopo hawafanyi kaziau waliyopewa dhamana wanapika data etc. kila anayekufa anakufa sio kwa Covid-19 tu bali magonjwa tofauti. Vile vile hizi data zinakusanywa nchi nzima na lazima Serikali ijiridhishe kwamba hizi data ni sahihi.

Nchi zilizoendelea zinashindwa kutoa data kamilifu (ie wanaokufa majumbani kwao nk) itakuwa Tanzania. Kutoa data sahihi kunahitaji vitu vingi sio kukurupuka kama Mbowe anavyofikiri. Tanzania hivi sasa haina vifaa vya kutosha na mabingwa wa kutosha wa kufanya post-mortem kubaini mtu amekufa kwa sababu ya ugonjwa gani?
 
Back
Top Bottom