Nduna shujaa
Senior Member
- Aug 14, 2022
- 163
- 134
Kwanza pokea pongezi za dhati nimepita wilayani ludewa mwezi uliyopita nimeona eneo la hospitali ya wilaya ni kubwa na majengo ya watumishi.
Ujenzi wa jengo la mochwari unaendelea hongera. Lakini pamoja na pongezi sasa nataka kukusoa utendaji wa baadhi ya wahudumu pale yani wagonjwa unakuta wamepanga foleni kwenye mabenchi hata nusu saa au dk45 dokta hayupo na haeleleweki wapi kaenda wapi, mbaya zaidi hata tarifa tu hakuna.
Wagonjwa wanatoka nje kupunga upepo wakati wanamsubiri.Ichunguzeni hospitali hiyo na utendaji wake.Watu wanalipwa mshahara wawatumikiye watu.
Ndiyo mana hospital binafsi zinawazidi.