Nduna shujaa
Senior Member
- Aug 14, 2022
- 163
- 134
Haswa kwakweli huko misheni ndiko wanakokusifia.Maeneo yale sidhani kama kuna hospitali binafsi ndio maana wagonjwa wanakuwa wanakomaa vile kwenye foleni.
Hospitali kubwa ni za mashirika ya dini tu zilizopo Milo na Lugarawa.
Lakini Ludewa kuna wataalamu wengi wa jadi mmeshindwa kuwafanya mbadala wa hilo tatizoLakini pamoja na pongezi sasa nataka kukusoa utendaji wa baadhi ya wahudumu pale yani wagonjwa unakuta wamepanga foleni kwenye mabenchi hata nusu saa au dk45 dokta hayupo na haeleleweki wapi kaenda wapi, mbaya zaidi hata tarifa tu hakuna.
Wagonjwa wanatoka nje kupunga upepo wakati wanamsubiri.Ichunguzeni hospitali hiyo na utendaji wake.Watu wanalipwa mshahara wawatumikiye watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakinga kwa ulozi balaaLakini Ludewa kuna wataalamu wengi wa jadi mmeshindwa kuwafanya mbadala wa hilo tatizo
wanatisha kule ktk jadi waliwahi kumlaza mkuu wa wilaya chooni hadi mkewe akaondoka kuogopa balaa.Lakini Ludewa kuna wataalamu wengi wa jadi mmeshindwa kuwafanya mbadala wa hilo tatizo
Kule ni wapangwa mkuuWakinga kwa ulozi balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakinga kwa ulozi balaa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app