#COVID19 Waziri wa Afya wa Uingereza augua Covid-19 baada ya kupata chanjo

#COVID19 Waziri wa Afya wa Uingereza augua Covid-19 baada ya kupata chanjo

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Waziri wa afya wa uingereza amepata ugonjwa wa covid 19.

Waziri huyo tayari amepata chanjo yote ya covid 19 kma inavyotakiwa lakini bado ameugua covid 19.

Ni cases nyingi kama sio zote ambazo watu waliochanjwa bado wanaugua ugonjwa wa Covid 19.

Swali la kujiuliza, inakuaje mtu amepata chanjo na bado akaugua, chanjo kazi yake ni nini?
===
British health minister Sajid Javid on Saturday said he had tested positive for COVID-19, but added that his symptoms were mild and he was thankful to have had two doses of vaccine against the disease.

Javid, who has been health secretary for three weeks, has backed Prime Minister Boris Johnson's plan to scrap all remaining legal coronavirus restrictions from Monday, despite a fresh surge of cases fuelled by the highly transmissible Delta variant.

"This morning I tested positive for COVID," Javid said in a tweet, adding he had first taken a rapid lateral flow test, and then later his positive result was also confirmed in a PCR test, which needs processing in a laboratory.

"My positive result has now been confirmed by PCR test, so I will continue to isolate and work from home."

Javid tweeted on March 17 that he had received a first shot of Oxford/AstraZeneca's (AZN.L) COVID-19 vaccine, posting a picture of him getting a second dose on May 16.

Vaccines are not 100% effective at preventing infection, but fully-vaccinated people are less likely to get seriously ill with COVID-19 even if they can test positive.

Real-world analysis published by Public Health England has found that two doses of the AstraZeneca vaccine are 60% effective against symptomatic disease from the Delta variant and 92% effective against hospitalisation.

Britain is facing a new wave of cases of COVID-19, but Johnson and Javid claim the vaccine programme has largely broken the link between COVID-19 cases and mortality, although Johnson has said that the country should reconcile itself to the prospect of more deaths from COVID.

Britain has the seventh highest COVID-19 death toll in the world, and has fully vaccinated two-thirds of adults, although it is not vaccinating children.

Some scientists have warned that the government's reopening plans for England are dangerous given the significant number of people who remain unvaccinated and the fact that vaccines are not 100% effective. read more

Reporting by Alistair Smout; additional reporting by Kanishka Singh; Editing by Catherine Evans, Christina Fincher and Daniel Wallis.

Reuters
 
Haya mbona yanajulikana? Hata wakiugua kama walikishachanjwa hali zao zinaendelea kuwa imara tu:

IMG_20210718_061417_243.jpg



Kwani waliokwisha chanjwa kwetu wanakukumbuka tena?
 
Kwanini tuwaamini wao wakati hawana imani na sisi.

Mungu tizama watu wako tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
UK walijaribu kulegeza masharti ya lockdown lakini visa vimeenda juu tena nina wasiwasi na uwezo wa hiyo chanjo. Kwa sasa wanasema wale ambao hawajachanja ndo chanjo cha visa vipya lakini sikubaliani na hiyo proposition yao, itakuwa ni njama tu ya kutaka kulazimisha kila mtu duniani adungwe sumu, ngoja tuone..
 
Lakini ndio wametuchanja
1. Surua
2. Polio
3. Pepopunda nk

Sawa..
basi kila mtu afanye kile anachokipenda

Malaria vp
TB vp
Ukimwi vp
hayo magonjwa hayahitaji chanjo sio?

Duniani kila kitu ni ubatili..
Hatima ya mwanadamu ipo kwa Muumba pekee.
Tutahangaika sana kama niwakufa tutakufa tu kama ni kuishi utaishi tu..
 
Sawa..
basi kila mtu afanye kile anachokipenda

Malaria vp..
Mkuu hayo magonjwa hayo yote uliyoyataja ni biashara zao na tiba au kufubaza wanashughulikia wao.

Wao ndio watengeneza tatizo na tiba pia.

Sisi tunaweza kulogana tu
 
Mkuu hayo magonjwa hayo yote uliyoyataja ni biashara zao na tiba au kufubaza wanashughulikia wao.
Wao ndio watengeneza tatizo na tiba pia.
Sisi tunaweza kulogana tu
Kwahiyo sisi ni nani kwenye uso wa dunia?
Kama ndivyo basi tuna sehemu tulikosea inatakiwa tukatubu
Tena tumewakosea babu zetu
 
Chanjo haizuii maambukizi ila inazuia hali kuwa mbaya baada ya maambukizi.
Kwa hiyo chanjo kazi yake ni kupambana na dalili baada ya kuambukizwa na sio kupambana na ugonjwa kabla ya kuambukizwa usiambukizwe?

Na hiyo guarantee kwamba ukiupata hali haitakua mbaya baada ya chanjo nani anaitoa?
 
Kwa hiyo chanjo kazi yake ni kupambana na dalili baada ya kuambukizwa na sio kupambana na ugonjwa kabla ya kuambukizwa usiambukizwe?

Na hiyo guarantee kwamba ukiupata hali haitakua mbaya baada ya chanjo nani anaitoa?
Tangu chanjo ianze idadi ya wagonjwa wa Covid mahospitali imepungua. Wengi huponea nyumbani.
 
Habari wadau wa jamiforums polen kwa Msiba wa zungu na ule wa sinza Tuwaombee kwa mungu walale mahala pema

Kutoka jamiforums wameripoti kua wazir wa Afya wa Uingereza amepata maambukiz ya Virusi vya corona licha ya kua Tayari kapata chanjo hii si ishara nzur kwa chanjo zetu za corona na matokeo yanayo endelea kujitokeza likiwemo na la Marekan kurudisha sheria ya kuvaa Mask.

Bila shaka marekan kurudisha sheria ya kuvaa maski hata kama tayar una chanjo ni wazi ya kua na wao wamesha gundua kua chanjo haiwezi kuiziwia corona

My take:
Dunia inatakiwa itafakar Tena upya mwenendo huu wa chanjo kwani huenda kwa sababu ya watu kuchoma chanjo tofaut tofaut na za kujirudia baadae italeta madhara makubwa na huenda tukatengeneza tatizo kubwa Zaid ya hili la Sasa
 
Kupata chanjo hakumaanishi huwezi kupata ugonjwa husika.

Chanjo huwa inaongeza tu nguvu ya kupambana na ugonjwa husika ili isilete madhara.

Magonjwa mangapi unapona bila hata kumeza dawa?

Nadhani ingekuwa stori kama ungesema, licha ya kupata chanjo ya Corona lakini Corona imemuua.
 
Kupata chanjo hakumaanishi huwezi kupata ugonjwa husika.

Chanjo huwa inaongeza tu nguvu ya kupambana na ugonjwa husika ili isilete madhara..
Wazalendo wanatafuta justification ya kukataa chanjo kuunga jitihada za Mwendazake mkono.
 
Kupata chanjo hakumaanishi huwezi kupata ugonjwa husika.

Chanjo huwa inaongeza tu nguvu ya kupambana na ugonjwa husika ili isilete madhara...
Mbona chanjo zingine ukichoma hupat ugonjwa husika au civid ni tofaut?
 
Mbona chanjo zingine ukichoma hupat ugonjwa husika au civid ni tofaut?
Halafu tofautisha ugonjwa na maambukizi.

Maambukizi hayakwepeki, ila ugonjwa hutokea baada ya kinga ya mwili ( Seli hai nyeupe ) kuzidiwa.

Kwahiyo chanjo ni kwaajili ya kuziongeza nguvu kinga za mwili.
 
Covid 19 ni ugonjwa wa kishetani. Imani yako ndio inayofanya uhisi uwepo/ kutokuwepo kwa covid 19.

Mimi naamini hiyo yakuitwa covid 19 ni agenda ya Ibilisi na sisi tumtumainiao Mungu Baba hatutishiki nayo
 
Back
Top Bottom