chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Huyu Waziri namshangaa, anaacha " ombwe" la taarifa kwa nini? Anashindwa kuwaeleza wabunge mchanganuo wa posho hizo? Mpaka Benki ya Dunia wanazikubali, ni mchakato mrefu, na uchanganuzi wa wazi, anakwama wapi?
Kama yatatokea mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, namtabiria kuhamishwa wizara, au kuachia uwaziri.
Kwa nini hakuandaa seminar kwa wabunge kuwaelewesha kiundani kuhusu mradi, kipengele kwa kipengele?
Lukuvi alificha "madhaifu" yake? Au kamua dalia watu wa kumvuruga?