Waziri wa Biashara, Innocent Bashungwa ahaha mahindi yafike DRC

Waziri wa Biashara, Innocent Bashungwa ahaha mahindi yafike DRC

... kwanini mizigo kwenda DRC ipitie Zambia wakati tuna njia m'badala? Huu ndio muda wa kulitumia L. Tanganyika vilivyo!
Mahindi yatoke songea, /rukwa kwenda DRC, uyapitishie ziwa Tanganyika? Huo umbali unaujua lakini? Kutoka songea /rukwa hadi, kigoma? Na huko pia inategemea unayapeleka pande ipi, labda kama ni KALEMII, na UVILA. Bado njia ya zambia kuingilia tunduma ni karibu zaidi
 
Wanatuchelewesha hao,funga bidhaa zao kwenda Rwanda
Halafu service levy ya bomba la Tazama haijaangaliwa kwa miaka 30,kuna haja ya kuipandisha sasa,lazima tutaelewana
 
Back
Top Bottom