mimi sio mwingereza na starajii kuwa mwingerezaxhicho kinatosha.Kwangu kingereza ni.lugha ya tatu .Nsongea ya kwanza kulugha ya pili kiswahili ya tatu kingereza.Huwezi nilinganisha na mwingereza au mmarekani ambaye toka kuzaliwa anaijua lugha moja tu kingereza!Kiingereza chako kinatia aibu sana.
Upuuzi mtupu.mimi sio mwingereza na starajii kuwa mwingerezaxhicho kinatosha.Kwangu kingereza ni.lugha ya tatu .Nsongea ya kwanza kulugha ya pili kiswahili ya tatu kingereza.Huwezi nilinganisha na mwingereza au mmarekani ambaye toka kuzaliwa anaijua lugha moja tu kingereza!
Tanzania tuna vibaraka wachache wa waingereza wanakijua kwelikweli sio utani mimi si kibaraka wa mwingereza
Konda msafi, pole sana na Khumbu. Nashukuru ulirudi salama. Wangeua presidential material. Umeanza kutupa kete.Upuuzi mtupu.
Sawa kabisa mkuu. Nishaachana naye.Konda msafi, pole sana na Khumbu. Nashukuru ulirudi salama. Wangeua presidential material. Umeanza kutupa kete.
Kuhusu huyo mpuuzi achana naye. Hilo litangazo lake sijui kalipata wapi? Hicho kiingereza kilichotumika ni kile cha form two enzi zile. Chuo Kikuu kinachojiheshimu kutoa waraka dhaifu kiwango hicho!
Hivyo hata kuchangia ni ngumu. Unahisi labda ni fake news. Mleta mada mwenyewe ndiye kama huyo. Seriousness haijui. Kila kitu kwake ni mataga. Tayari analia watu hawachangii. Wengi waliishaapa kutochangia upuuzi wa mpuuzi kama huyo!
😀 Asee!! Kiingereza hakina ushirikiano kama hiki ndio umesoma udsm?? Kweli CCM kuna zuzus'Not true go and ask the childen .Most them hate science subjects
Nalo Ni wazo zuri. Ila kwa makampuni ya wabongo Ni ngumu asee, wanataka ready made product.Makampuni ya uhasibu na biashara nayo yawe na huruma si tu kusubiri tu kuajiri tu wawe wanatoa na wao scholarships. pia
Lakini kama nchi inajikita zaidi kwenye shortage .Wanasayansi wakali hatuna wa kutosha
Tatizo hapa ndio maana hazikui na ku perform vizuri.Nalo Ni wazo zuri. Ila kwa makampuni ya wabongo Ni ngumu asee, wanataka ready made product.
Ilaumiwe serikali ya ccm.mada nzuri kama hii inakosa wachangiaji hatavwa ku like lakini ukiandika ohh kiongozi wa siada apiga chafya hadharani comment ba like zingefika milioni!!! kuna shida mahali.