Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Inashangaza sana pamoja na kuprove failure bado anarejeshwa kwenye wizara hiyo hiyo ambayo haina mwelekeo wowote.Huyu mama yeye anachofanya ni kuongeza tu grade point za passmark kwa form 6 na form 4 yaani yeye yuko pale kufanya hilo tu ndio alilofanya wakati anaingia madarakani awamu ya 5 kuondoa tu ile GPA Baada ya hapo katulete vile vitabu vya ajabu Ajabu yaani yeye toka amerekebisha marks za ufaulu hajaona kama kuna shida nyingine kwenye elimu zaidi ya kuwafukuza wanafunzi wanao dai mikopo ya elimu ya juu kwa kisingizio kwamba hawawezi kumgusa hii nchi inahitaji mabadiliko makubwa sana
Ndio maana nilimpenda jana Uhuru Kenyatta alisema
Sasa kama mawaziri wanasubiri kuambiwa wafanye hivi kuna haja gani au maana gani ya kuendelea kua waziri si bora waondoke kwasababu yeye anafanya kazi kwa niaba ya serikali inamaana yeye anamuwakilisha raisi sasa kama kila kitu afikirie raisi aseme yeye atekeleze kuna haja gani ya kua na waziri ambaye hayupo creative kuwaza wapi kuna shida nitatue
Hata kama bosi wao hua anazingua basi wawe wanampelekea kwanza proposal wakubaliane halafu waje hapa kututangazia sasa kama tutasubiri TUCTA waende siku ya wafanyakazi kuomba mshahara uongezwe na waziri wa elimu pamoja na TAMISEMI wapo hawakuona haja ya mishahara kuongezwa kwa watumishi wanafanya nini paleeeee?
How on earth unakaa miaka 7 wizara moja na usiwe na impact yoyote?