Waziri wa Elimu anafanya kazi gani mpaka baadhi ya mambo ayatolee maamuzi Rais?

Inashangaza sana pamoja na kuprove failure bado anarejeshwa kwenye wizara hiyo hiyo ambayo haina mwelekeo wowote.

How on earth unakaa miaka 7 wizara moja na usiwe na impact yoyote?
 
Mpaka apate maagizo kutoka juu, kirahisi rahisi tu hivyo peke yake hawezi hadi boss wake atoe tamko.

Kuijua siasa ya bongo inabidi ujitoe ufahamu kidogo.
Mkuu tatizo ni kuwa na maprofesa uchwara na wanyenyekea vyeo. How come waziri mzima unasikia malalamiko daily but unashindwa hata kuunda team ndogo ikusaidie kufanya utafiti wa hali halisi kuhusu hiyo issue ili uitumue kumshawishi hata Waziri mkuu basi ikiwa kumu approach rais anaogopa?? Bora hoja yako ikataliwe leo but kuna siku itaonekana ya maana na itafanyiwa kazi, kuliko fedheha ya mkuu wa nchi kuingilia kati na kukusaidia kazi wakati wewe upo.
 
[emoji1666][emoji106][emoji1666]
 
Je, kama waziri ndo alipeleka mawazo ya wadau kwa Raisi unajuaje? Sio kila anachosema Raisi kinatoka kwake mwenyewe vingine ni mawaziri au wasaidizi mbalimbali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tumeshasikia majibu yake bungeni mara nyingi tuu akipinga na kudai ni lazima watu walipe, wala hajawahi kusema tutalifanyia kazi. Huyu hii wizara imemshinda angerudishwa huko alikokuwa.
 
Tumeshasikia majibu yake bungeni mara nyingi tuu akipinga na kudai ni lazima watu walipe, wala hajawahi kusema tutalifanyia kazi. Huyu hii wizara imemshinda angerudishwa huko alikokuwa.
Atakuwa ni mnufaika wa hizi hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…