Habari wana jamvi. Kuna walimu idara ya Sekondari na primary katika halmashauri zetu, kama Kilosa ambao tangu wapandishwe daraja mwaka jana July, bado kulipwa mishahara mipya na kulipwa hizo areas.
Ukiuliza wanakujibu eti wao hawausiki labda twende hazina kuu ndio wanahusika na malipo. Hivi kwann cc tu ndo tunaonewa? Ombilangu kwa waziri wa Elimu, tunaomba watu walioko chini yako wafanye kazi, la sivyo tutaendelea kuumiza nyasi. au ndiyo malengo ya the so-called Big Result? tumechoka na uongo wa viongozi hasa wa CCM na Mwigulu