WAZIRI WA ELIMU..EMBU FIKEN MLALAMIKE ONGEZEKO LA BEI ZA VIFAA VYA ELIMU WHY NOW?MBONA TKT LATRA WAMEJIRAHIDI XMASS TUMELIPA BEI HALALI??

WAZIRI WA ELIMU..EMBU FIKEN MLALAMIKE ONGEZEKO LA BEI ZA VIFAA VYA ELIMU WHY NOW?MBONA TKT LATRA WAMEJIRAHIDI XMASS TUMELIPA BEI HALALI??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Inashangaza sanaa

YAAN tkt za basi n MUHIMU kuliko elimu yetuu

Naangalia mikoa zaidi ya mitano wanalia upandaji WA bei kuanzia madaftari

Magodoroo

Vyatu vya shuleeeeeeee

Soksi

Vitandaaaaa

Vitabuuuuu

Kwani latra wamefaulu ku control bei za juu sikukuu

Wizara ya elimu
.tamisemi

Mmeshindwa nn kushirkiana na wizara ya viwanda na biashara kuonya upandaji huu haramuu WA bei wakati WA ufunguzi WA shule zetu???

Ninii na wapi tunafeliii?????
 
yan tule tu daftar kamoja 1500
Na mbaya zaidi mashule nayo yameijiingiza kwenye biashara ya vifaa vya shule. Sasa hivi soksi , madaftari, ream paper, mabegi (tena feki), n.k. mashule yanaenda kununua kwa bei ndogo halafu wanakuja kuuza kwa lazima mashuleni kwa bei kubwa hata mara tano zaidi kisa tu wameongeza kuchapa nembo ya shule yao kwenye hivyo vifaa.

Na wanaweka sheria kabisa hivyo vitu lazima ununue hapo shuleni vyenye nembo yao. Mzazi akiamua anunue mwenyewe upeleke uwalipe pesa wakupigie nembo hawataki.

Hapo bado wizi wa ream paper. Kwa mfano shule ina wanafunzi 1,000 kila mwanafunzi hata wa darasa la kwanza anatakiwa alete "ream paper" mbili kwa mwaka kama sio wizi ni nini?

Ombi langukwa wizara ya elimu ipige marufuku hizi shule kufanya biashara ya vifaa vya shule au hata kama wakiamua kufanya basi wasilazimishe wazazi kununua vifaa hivyo kwenye shule zao kwa bei hata mara tano zaidi ya bei ya kawaida.
 
Back
Top Bottom