DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wengine wanatoka saa 8.30 mchana wengine saa 9.30 mchana ijumaa wengine wanatoka saa 6.30 mchana wengine wanatoka 9.30 wengine wanafunga likizo wengine hawafungi yaana mambo hayaeleweki kila wilaya au mkoa na wanavyo jisikia
Ni kama vile hakuna utaratibu kabisa
 
Hasa uwe kwenye kikao na wamama wengi!....wao wanaona kama "sifa" mtoto kuwepo shuleni wiki nzima!

Ukijaribu kuwadomea hadi waraka wa Kamishna wa Elimuvjuu ya katazo hili hawaelewi!....hasa ukute ma Single mother wanaojipendekeza kwa walimu wa shule hiyo watakupinga mpaka ujione hufai!
 
Mimi wakwangu apewe tuu package.

Wewe mmoja hutaki mwanao apewe unahamasisha nchi nzima.

Waache walimu na taaluma Yao wafanye vile inafaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza sijazungumzia package popote,pili nina haki ya kufanya hiki ninachokifanya na ukipitia comment utaona wengi hawapendi huu utaratibu,kwahio kama wewe unafurahia ni uamuzi wako
 
Serikali irekebishe mtaala kama watoto tunawataka wasome muda mchache, kwa schedule ilivyo kwa elimu yetu kwa mwaka ni ngumu kumaliza topics zote with accuracy kwa muda husika..

Kwa ratba ya vipind 5 kwa wiki, approximately dk 200k unataka mtoto amalize syllabus ya physics au biology form 3??? Apo hatujazungumzia advance..

Sometimes shule zetu na walimu wetu wanatafta namna ya kusaidia watoto wetu kwa mazingira ambayo sio rfk af watu tunalaumu tuu...

Kwa primary naweza kukubaliana na nyie ila kwa o level na advanc ni sawa walimu ni sahihi kuwafundsha watoto mpk likizo unless otherwise tubadilishe mtaala ila kwa mtaala huu wa sasa acha wasome
 
Shule nying za private hususan advanced schools wao huanza registration ya wanafunz kuanzia mwez wa pili au watatu na watoto wanakua wanaanza kufundishwa mpaka shule za serikali zikianza kupokea watoto mwez wa 7 wenzao tyr wameshaua syllabu yote ya form five af matokeo yakija wakifaulisha mnasema wanaiba mitihani
 
Acha Uongo
 
Sio kubakiza watoto shule TU. Walipiga marufuku michango shuleni lakini hakuna kilichobadilika.
 
Wanakera sana jamani
Tunataka watoto wetu nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…