Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Mheshimiwa waziri wa elimu.
Kama ilivyokawaida kwa kila shule ya bweni lazima pawepo na matron ambaye majukumu yake makuu;
1. Kutunza nidhamu bwenini
2. Usalama wa wasichana na mengineyo.
Shule iliyotajwa hapo juu
Makongoro high school iliyopo Nyamiswa bunda, Mkoa wa Mara, haina matron badala yake kuna mwalimu wa kike ambaye hutembelea bwenini mara 1 kwa wiki, badala yake waalimu wa kiume, mwalimu wa nidhamu na mkuu wa shule huingia mabweni ya wasichana mara kwa mara kama sehemu ya majukumu yao.
Badala yake hili lingefanywa na matroni.
Kama tujuavyo wanafunzi wa kike kidato cha 5 na 6 basdhi yao wamepevuka, kitendo cha mwalimu wa kiume kuingia vyumbani mwao ni jambo la hatari sana.
Ni hayo tu naomba kuwasilisha