Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi atakuwa Clouds FM kuzungumzia mgomo

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi atakuwa Clouds FM kuzungumzia mgomo

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr Shukuru Kawambwa atakuwa Clouds FM kuanzia saa mbili kuzungumzia mgomo wa Waalimu unaoendelea nchini.
Nakuomba umfuatilie na kutujulisha kinachoendelea, kwani wengi wetu hatutakuwa na fursa ya kumsikiliza.
AMANI IWE NASI!
 
kwanini asiende habari maelezo au tbc1?
 
aisee, matamko ya Serikali yanapitia clouds siku hizi???
Sasa sisi wa huku mbali tutasikia kweli!!
 
...du, hii nayo kali. Serikali kwa mzaha hii siiwezi.
Ooooh, hata hivyo tbc haiaminiki kadhalika huko anakokwenda.
 
Kwani hamjui kuwa Clouds nayo ni "mali" ya serikali??
 
Anajikanyaga sana Mh Waziri,uhongo mbele za watu ni mgumu sana kuutamka...ukizingatia mwezi mtukufu huu.
 
Tupen habar jaman anasemaje huyo wazir wengine hatuna muda saa hizi
 
Chonde chonde! Tunaomba mtujulishe anasema nini?
 
anaenda kusema "wanafunzi wasishirikishwe kwenye mgogoro wa walimu na serikali. atakaye bainika atachukuliwa hatua za kisheria. Mia
 
Serikali dhaifu inakimbilia kwenye chombo cha habari dhaifu itakapohojiwa na watu dhaifu!!
 
Back
Top Bottom