Waziri wa Elimu na TAMISEMI kwa nini mnawatenga walimu wa Computer Studies?

Waziri wa Elimu na TAMISEMI kwa nini mnawatenga walimu wa Computer Studies?

Afage

Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
46
Reaction score
66
Ndugu wanna jamvi kuna changamoto inatokea kwa baadhi ya walimu kutokupewa vipaumbele kabsa.

Kuna vijana wamehitimu udom 2015 wakiwa wamesoma computer studies na masomo ya sanaa ila wamebaguliwa kila ajira.

Serikali inatoa kipaumbele kwa Chinese language unaacha computer studies?

Je, mbona kuna shule zinafundisha masomo hayo tatzo ni nini?

Waziri wa elimu kuna tatzo hapa naomba ufatilie Jambo hili.
 
Ni kweli ila kwa nini sasa watoe ajira basi zisiwepo kwa wote ili kila mtu ajiajili
 
Walimu wanaajiriwa kulingana na uhitaji kwahiyo itakuwa hawawahitaji

Yaan kwa kweli walimu wananyanyaswa sana ,nimesikia halmashauri ya Wilaya ya Geita Walimu wamehamishwa na wameambiwa hawatalipwa huu ni unyanyasaji mkubwa sana kwa kweli Wazir wa Tamisemi anatakiwa aingilie kati,wengine wamepelekwa mbali sana
 
Computer mashuleni linahesabika ni somo la ziada kama Islamic knowledge na Bible knowledge.

Shule chache sana wanazo computer, tena hawasomi😂😂

Shule nyingine hazina computer kabisa hata ya mwalimu mkuu
 
Kwanza nikupe Pole mkuu, pili na kilaumu chuo chako kwa kukosa weledi na kuruhusu mtu asome Computer studies na somo la Arts n ujinga mkubwa

Hawawezi kukuajili kama mwalimu wa computer zaidi wanahesabu somo lako moja ulilo soma la Arts. Computers n mathematics otherwise mlifundishwa introduction to computer yaani history ukaiweke pamoja na programming language

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom