Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako ataka busara itumike suala la ulipaji ada

Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako ataka busara itumike suala la ulipaji ada

ndanda masasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
772
Reaction score
1,177
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametaka busara itumike kati ya wazazi na bodi za shule kuhusu suala la ulipaji wa ada na malimbikizo ya ada za muhula uliopita kwani janga la Corona limeathiri watu wengi

Chako.jpeg
 
Vipi kuhusu busara ya malipo ya walimu maana nao wanategemea ada kulipwa mishahara...pia wamekaa njaa mwezi wa pili sasa Je wao busara haiwahusu.
 
Mimi mwanangu alishawahi kurudishwa kisa hakumalizia70000 ,sasa shule zilifungwa walikuwa wanadai laki NNE,tutaenda katana huko kwenye ada,ka walishindwa kunivumilia70000 Mimi nitawezaje kulipia kitu ambacho mwanangu hakutumia,katika400000 kuna chakula na malazi ,
 
Nimesoma sehemu mama mh prof ameongelea swala la ada shule binafsi akaomba bodi zikae zitoe mwelekeo.

Mama yetu hizi bodi zinashida na hela zetu mwisho awatakuja kuja na jipya.

Ungetoa maelekezo watoto wamekaa nyumbani kama qtr moja nzima basi zinazobakia wazazi walipe simple... Bodi watachafua haliya hewa.

Ikumbukwe mnasema walimu wanalipwa na wazazi wao walibaki nyumban bila mshahara kulisha hao watoto.

Tutashukuru ukienda mbali zaidi kwa hili kuliko kuziachia bodi
 
Back
Top Bottom