REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Niende kwenye hoja moja kwa moja kesho shule zinafungwa kwa ajiri ya mapumziko ya kumaliza mhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2023, wazazi tunaitaji watoto wetu likizo waje wapumzike hatuitaji sijui mtoto yupo darasa la mitihani hafungi shule hii kasumba imeshamiri sana na kimekuwa kichaka cha upigaji shule binafsi hata za serikali
Siku za masomo zinajulikana zipo kwenye kalenda inakuwaje mtoto aongezewe siku chonde chonde tunaomba watoto wetu waje majumbani wakae na bibi na babu, shangazi na mjomba nk waone wazazi wao mikopo kausha damu inavyotutesa waone shida na dhiki za mtaa ili wakirudi wasome kwa uchungu
Waziri Ummy Mwalimu kipindi yupo TAMISEMI alikataza hii kitu iweje imerudi, kama kufauru mtoto akifundishwa atafaulu tu kwa siku za masomo, waje tukae nao tujue mienendo yao tabia walizojifunza uko shule je ni rafiki kwa jamii zetu
======
UPDATES
=====
www.jamiiforums.com

Serikali: Wanafunzi wasizuiwe kwenda likizo
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema wamepokea malalamiko kwamba kuna Shule zinazuia Wanafunzi kwenda likizo bila kushauriana na Wazazi huku Wazazi wengine wakitakiwa kulipa ili kuwaweka Wanafunzi Shuleni ambapo amewataka Viongozi wa Shule kutambua kuwa ni haki ya...