Waziri wa Elimu zimulike school buses, Watoto wako hatarini kupata maambukizi

Waziri wa Elimu zimulike school buses, Watoto wako hatarini kupata maambukizi

Waziri wa Elimu na viongozi wengi wizara ya Elimu ni wamiliki wa school bus na mashule roho zao zipo kwenye pesa na wengi sasa wapo busy na kampeni hawana mda wa kuhangaika na chochote kwa kuwa watoto wao hupelekwa shule kwa magari yao binafsi.
 
Wazazi wa ajabu hao!
Watoto wengi wanaosoma international ni watoto wa vigogo wa CCM ambao wengi akili zao zipo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Covid 19 ikijipenyeza huko italeta maafa makubwa mno
 
Back
Top Bottom