minyoo JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 22,405 Reaction score 21,100 Jul 9, 2020 Thread starter #21 Hance Mtanashati said: Akili huna wewe. Click to expand... Wewe Akili umetoa wapi? Nani kakuambia kuwa una Akili hapo ulipo? Kujua kuvaa shanga ndiyo umejiona una Akili?
Hance Mtanashati said: Akili huna wewe. Click to expand... Wewe Akili umetoa wapi? Nani kakuambia kuwa una Akili hapo ulipo? Kujua kuvaa shanga ndiyo umejiona una Akili?
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Jul 9, 2020 #22 minyoo said: Wazazi wengi hawajui kwani kipindi watoto hurejea toka shule wao huwa kwenye kuwajibika hawafahamu kinachoendelea Click to expand... Wazazi wa ajabu hao!
minyoo said: Wazazi wengi hawajui kwani kipindi watoto hurejea toka shule wao huwa kwenye kuwajibika hawafahamu kinachoendelea Click to expand... Wazazi wa ajabu hao!
minyoo JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 22,405 Reaction score 21,100 Jul 9, 2020 Thread starter #23 Waziri wa Elimu na viongozi wengi wizara ya Elimu ni wamiliki wa school bus na mashule roho zao zipo kwenye pesa na wengi sasa wapo busy na kampeni hawana mda wa kuhangaika na chochote kwa kuwa watoto wao hupelekwa shule kwa magari yao binafsi.
Waziri wa Elimu na viongozi wengi wizara ya Elimu ni wamiliki wa school bus na mashule roho zao zipo kwenye pesa na wengi sasa wapo busy na kampeni hawana mda wa kuhangaika na chochote kwa kuwa watoto wao hupelekwa shule kwa magari yao binafsi.
minyoo JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 22,405 Reaction score 21,100 Jul 9, 2020 Thread starter #24 Auz said: Wazazi wa ajabu hao! Click to expand... Watoto wengi wanaosoma international ni watoto wa vigogo wa CCM ambao wengi akili zao zipo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu
Auz said: Wazazi wa ajabu hao! Click to expand... Watoto wengi wanaosoma international ni watoto wa vigogo wa CCM ambao wengi akili zao zipo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu
minyoo JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 22,405 Reaction score 21,100 Jul 11, 2020 Thread starter #25 Covid 19 ikijipenyeza huko italeta maafa makubwa mno