Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
Bajeti ya 2026/2027 ni ya kwanza katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Bajeti hii imeandaliwa kwa kuzingatia miongozo ya kitaifa, kikanda na kimataifa, ikiwemo Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano, Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025, Dira ya Maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya mwaka 2050, Ajenda ya Maendeleo ya Afrika ya mwaka 2063, Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030, pamoja na nyaraka, miongozo na makubaliano mengine ya kikanda na kimataifa ambayo Tanzania imeridhia.
Mheshimiwa Spika, bajeti hii pia imezingatia hotuba ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyoitoa tarehe 14 Novemba mwaka 2025 wakati wa kuzindua rasmi Bunge la 15. Aidha, bajeti hii pia imezingatia maelekezo maalum yaliyotolewa kwenye hotuba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Madelu Nchemba.
Soma Pia:
Mheshimiwa Spika, pamoja na mambo mengine, bajeti hii inawasilisha mapendekezo ya hatua mpya za kisera, za mapato na matumizi kwa mwaka 202.

- Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 inasomwa leo Juni 11, 2026
- Waziri wa Fedha: Takwimu za miaka ya karibuni zinaonesha kuwa misaada kutoka nje imeendelea kupungua mwaka hadi mwaka