Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590

Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
 
Attachments

  • Screenshot_20241118_171844_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_20241118_171844_com.facebook.katana.jpg
    289.7 KB · Views: 13
na wao waende wakatakatishie huko

wezi kwa wezi hujuana , unashani huo utakatishaji umefanyika bila connection ya huku kwetu

ni lazima na wao (wabongo) wanajua namna wanavyofaidika na huo ukwapuaji wa viongozi wezi wa kenya aidha kwa njia ile ile ya kwenda kutakatishia pesa za huku huko (kenya) au kula cha juu cha wakenya watakatishaji
 
Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Kwani hawawezi kushirikiana na hao wenzao toka Kenya, kwa njia hizo hizo?
Na kama hawajaanza kufanya hivyo, hii ni njia rahisi sana kwao kutakatisha pesa pande zote mbili.

Anza kwa kufahamu pesa hiyo inayo ingizwa nchini inaingizwa kwenye shughuli zipi, na wahusika wa shughuli hizo ni akina nani!
 
Inaweza kuwa kweli kabisa

Maana kila tajiri wa Kenya familia yake iko Tanzania kuanzia Uhuru, jaguar, prezoo na mawaziri wengi wa Kenya wana familia zao Tanzania
 
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590

Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Watanzania hata hawaogipi, wanaokuwa nazo humuhumu!
 
Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu
Chawa wa mama watapinga
 
This is a serious allegation coming from CS John Mbadi, that Tanzania is playing ground for money laundry:

Some of us steal money here, we go to Tanzania and invest there because when we invest in Kenya it will be more visible,” he stated.

The CS also noted that the suspects engage in money laundering across the border to evade security agencies at the border points.

“You also bring money from Tanzania by road, then come and start constructing buildings around here. That is what people do,” he revealed, explaining the menace has cost the country billions of money in taxes.
 
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590

Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Mauritius, football clubs na Transport business.
 
Back
Top Bottom