Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2026/27, serikali itaendelea kutekeleza Mkakati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Muda wa Kati wa 2025/26–2027/28 kwa kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha ukusanyaji wa mapato.
Amesema miongoni mwa hatua hizo ni kuvutia uwekezaji zaidi wa ndani na nje ya nchi kwa lengo la kupanua wigo wa kodi, kuongeza mapato ya serikali na kuimarisha fursa za ajira kwa wananchi.
"Spika katika mwaka 2026/27 serikali kupitia utekelezaji wa mkakati wa ukusanyaji wa mapato wa muda wa kati 2025/26 - 2027/28 itaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha ukusanyaji wa mapato na miongoni mwake zikiwemo hizi zifuatazo.
Soma Pia:
Pili, kuhamasisha ulipaji kodi kwa hiari kwa kuimarisha mahusiano baina ya serikali na walipa kodi kupitia majadiliano kwenye majukwaa mbalimbali, ikiwemo baraza la taifa la biashara na CEOs round table.
Tatu, kuendelea kusimamia na kuhimiza matumizi sahihi ya mashine za kutolea risiti za kielektroniki kupitia utoaji wa elimu na uendeshaji wa programu mbalimbali za hamasa. Amesema Waziri wa Fedha, Khamis Mussa

- Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 inasomwa leo Juni 11, 2026
- Waziri wa Fedha: Takwimu za miaka ya karibuni zinaonesha kuwa misaada kutoka nje imeendelea kupungua mwaka hadi mwaka