Waziri wa fedha Mh. Dr. W. Mgimwa akizindua KAMPENI KWA UMMA KUHUSU SOKO LA KUKUZA UJASIRIAMALI (EGM

Waziri wa fedha Mh. Dr. W. Mgimwa akizindua KAMPENI KWA UMMA KUHUSU SOKO LA KUKUZA UJASIRIAMALI (EGM

Pasco alituambia DSE atakuja na taarifa zaidi ila mbona link yako haina maelezo yoyote au mna website nyingine?
 
Mkuu tumeona link na tunawapongeza mmejitahidi kuanza kutoa elimu kwa umma juu ya soko la hisa mi naomba list ya Nomads hawa advisors ambao SMEs wanatakiwa kuwasiliana nao juu ya hili soko dogo la EGM ikiwezekana iweke hapo juu ili wote tufaidike Asante
 
Vuta subira tutaonesha orodha ya NOMADs. Ila NOMADs utawahitaji kama una kampuni na unataka kutafuta mtaji kwenye hili soko la EGM. Kama unataka kuwekeza kwa kununua hisa kwenye kampuni zinazotarajia kuorodheshwa kwenye dirisha dogo, wasiliana moja kwa moja na madalali kwa hii weblink: DSE: Dar es Salaam Stock Exchange. Hivi tunavyo-chat kuna kampuni inauza hisa tayari kwa kuingia kwenye hili soko la EGM, hivyo hima, wasiliana na dalali, akupatie ushauri na maelekezo mengine muhimu.
 
DSE does not have a definition of SMEs which is different from a common one defined or used by other bodies such as TRA, Banking sector, consultancy companies, etc. The only criteria when it comes to listing an SME on the EGM segment is that they should have an issued and paid-up capital of at least Tshs 200 million, with at least 50% of net assets situated within Tanzania.
 
Ifuatayo ni orodha ya NOMADs (Licensed Nominated Advisors):
1. ARCH Financial & Investment Advisory Ltd (+25522732922396)
2. Enterprise Growth Market Advisors Ltd (+25522213590)
3. Exim Advisory Services Ltd (+25522213156)
4. TSL Investment Management Ltd (+255222112807).
 
Back
Top Bottom