Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida? Tushawahi kufika hatua hiyo before?
Madeni ni hulka ya mtu, mtaani kuna watu hawaogopi madeni ila naamini kuwa na madeni ni sensitive issue na tunahitaji kuwa na discussion ya kina. Tukope ila tuwe alert na si kuimba mapambio ya madeni kumbe ni siasa tumeingizwa kama jamii.
Binafsi haijaniingia akilini na naomba wenye uelewa zaidi wanitoe tongotongo .