Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba afafanue kwanini tunakopa kulipa deni

Utoto bhana.

Kwa akili zako unadhani Mwigulu ndio waziri wa fedha pekee aliyewahi kukopa?

Yeye kakopa1.3T. Unadhani hiyo 70+T tunayodaiwa ilikopwa lini na kina nani?
Jibu swali kwa nini tukope ili tulipe deni?
 
Utoto bhana.

Kwa akili zako unadhani Mwigulu ndio waziri wa fedha pekee aliyewahi kukopa?

Yeye kakopa1.3T. Unadhani hiyo 70+T tunayodaiwa ilikopwa lini na kina nani?
Vyovyote iwavyo, deni la taifa kukuwa kwa trillion 10 ndani ya miezi 9 tena kwa miradi isiyo ya kimkakati ni jambo lisilovumilika, na hili ni lazima liondoke na mtu
 
tumesikia imekopwa zaidi ya t10 ila wao wamejikita kutolea ufafanuzi wa 1.3 nahapa ndopenye tatizo
Yaani wao wanaongelea tu hiyo 1.3Trillion wakati wanajua kabisa pesa iliyokopwa ndani ya miezi 9 ni Trillion 10, tena kwa miradi isiyo ya kimkakati
 
Mwigulu inawezekana ama hatoshi kwenye wizara hii, ama serikali ina mifumo ya hovyo kama ulivyo utendaji kazi katika ofisi zake nyingi.

Llinalonipa wasiwasi ni pale aliposema "Hakuna mwananchi atalipa deni, bali serikali ndiyo italipa". Serikali inapata wapi fedha za kulilpa? Hii ama ni dharau kwa Watanzania na kuwaona ni malofa na wapumbavu wasiojielewa, ama ni mzani wa Mh. unahitaji uzito zaidi.

Lakini this is serious!. Nani washauri wa mama kwa masuala ya fedha? Nini nafasi ya BoT, katika hili suala la fedha na maendeleo? Ni kweli tutegemee busara ya kutusogeza mbele kutoka wizara ya fedha iliyojaa ujambazi wa kutisha?

Suala hili linahitaji mjadala wa kina.
Kwa mujibu wa Mwigulu pesa za serikali si za wananchi. Sasa sijui ni madaraka ya kulevya au dish haliko sawa sifahamu. Kwa mujibu wa Mwigulu Tanzania na serikali yake si mali ya watanzania labda ni mali ya CCM. Frankly tuna shida kubwa sana kama huyu anayeongea utoporo huu ni PhD holder na waziri mwandamizi.

Ninakumbuka mwaka jana kwenye kampeni chadema walisema wakichukua uongozi wa nchi watafanya revamp ya mfumo wa afya. Polepole bila aibu alihoji kwamba chadema watajenga hospiali zao maana wao hawana hospitali. Kwa maneno mengine Polepole alikuwa anamaanisha kwamba hospitali zote nchini ni mali ya CCM iwepo au isiwepo madarakani. Mifano hii miwili ya viongozi waandamizi Mwigulu na Poleple (then) inatoa taswira mbovu sana ya uelewa wa viongozi wetu. Ndiyo maana utaona wanatumia billion moja kuzindua mradi wa milioni 100. Hawafahamu kwamba hizo pesa wanazoziabuse ni mali ya watanzania masikini ambao hata milo miwili kwa siku majority ni mtihani kwako.
 
Yaani wao wanaongelea tu hiyo 1.3Trillion wakati wanajua kabisa pesa iliyokopwa ndani ya miezi 9 ni Trillion 10, tena kwa miradi isiyo ya kimkakati
nahapa ndopalipofanya spika achukiwe, kwasehemu kubwa ya miladi inayotekelezwa inaonekana kwamaelezo yao inajengwa kwa fedha za mikopo nisawa, tozo na kodi zinafanya kazi gani?
 
Mfano Tozo ya miamala walisema ni ya madarsa na Zahanati, na bado kila mkopo tunaambiwa ni wa madarasa, sasa tuelewe vipi?
 
Kwa mujibu wa Mwigulu pesa za serikali si za wananchi. Sasa sijui ni madaraka ya kulevya au dish haliko sawa sifahamu. Kwa mujibu wa Mwigulu Tanzania na serikali yake si mali ya watanzania labda ni mali ya CCM. Frankly tuna shida kubwa sana kama huyu anayeongea utoporo huu ni PhD holder na waziri mwandamizi.

Ninakumbuka mwaka jana kwenye kampeni chadema walisema wakichukua uongozi wa nchi watafanya revamp ya mfumo wa afya. Polepole bila aibu alihoji kwamba chadema watajenga hospiali zao maana wao hawana hospitali. Kwa maneno mengine Polepole alikuwa anamaanisha kwamba hospitali zote nchini ni mali ya CCM iwepo au isiwepo madarakani. Mifano hii miwili ya viongozi waandamizi Mwigulu na Poleple (then) inatoa taswira mbovu sana ya uelewa wa viongozi wetu. Ndiyo maana utaona wanatumia billion moja kuzindua mradi wa milioni 100. Hawafahamu kwamba hizo pesa wanazoziabuse ni mali ya watanzania masikini ambao hata milo miwili kwa siku majority ni mtihani kwako.
Duuu inatia uchungu . Mkuu unadhani tatizo liko wapi ? PHD holder ( hamtagongewa kuambiwa lipa deni ) MWIGULU somehow somewhere upstairs kuna issue hatuijui. Tunapopandishiwa kodi na tozo hana habari kuwa hapo ni zaidi ya kunigongea mlango maana ananisababisha niahirishe kula mkate asubuhi ninywe chai ya rangi kwa viazi Mbatata. Why watu wetu nao wamejaa upumbavu maana kuna kundi kubwa linasupport ujinga . Ukikaa ulaya utajua jinsi gani jamii tunatofautiana kwa uelewa maana hata hata ukiingia kwenye bus ukadodge kulipa utaona tuzee tunakutolea macho . Public properties wako aware hawezi kuzichezea mtu anakuangalia wana uchungu wa public expenditure kwetu ni mapambio ,siasa ,ukabila kila uzandiki .no awareness at all kuwa wao ndo wanaifund serikali bali serikali ni mwendo kuwaonyesha kuwa inawafadhiri
 
Tuna changamoto kubwa sana mkuu sijui tunatokaje hapa tulipofika. Hii mentality inavyoonekana tutairithisha kwenye vizazi na vizazi mbeleni. Kinachoniuma zaidi hii ignorance haiishii kwa level ya mawaziri pekee imefika mpk utosini vinginevyo tusingeshuhudia haya tunayoshuhudia kila siku.
 
Back
Top Bottom