Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Utoto bhana.Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida ? Tushawahi kufika hatua hiyo before ? Madeni ni hulka ya mtu , mtaani kuna watu hawaogopi madeni ila naamini kuwa na madeni ni sensitive issue na tunahitaji kuwa na discussion ya kina .tukope ye ila tuwe alert na si kuimba mapambio ya madeni kumbe ni siasa tumeingizwa kama jamii. Binafsi haijaniingia akilini na naomba wenye uelewa zaidi wanitoe tongotongo .
tumesikia imekopwa zaidi ya t10 ila wao wamejikita kutolea ufafanuzi wa 1.3 nahapa ndopenye tatizoUtoto bhana.
Kwa akili zako unadhani Mwigulu ndio waziri wa fedha pekee aliyewahi kukopa?
Yeye kakopa1.3T. Unadhani hiyo 70+T tunayodaiwa ilikopwa lini na kina nani?
Kumbe "mmesikia"tumesikia imekopwa zaidi ya t10 ila wao wamejikita kutolea ufafanuzi wa 1.3 nahapa ndopenye tatizo
Stupid reaction ever. Awamu ya sita inawakilisha awamu zote zilizopita. Once Hangaya alisema sifa za awamu zote zilizopita zinamwangukia sasa kwa sababu zinaonekana leo akiwa madarakani.Utoto bhana.
Kwa akili zako unadhani Mwigulu ndio waziri wa fedha pekee aliyewahi kukopa?
Yeye kakopa1.3T. Unadhani hiyo 70+T tunayodaiwa ilikopwa lini na kina nani?
We lazima utakuwa mgogo.Stupid reaction ever. Awamu ya sita inawakilisha awamu zote zilizopita. Once Hangaya alisema sifa za awamu zote zilizopita zinamwangukia sasa kwa sababu zinaonekana leo akiwa madarakani .same hawezi kubeba sifa bila kuchukua na viambata vyake. Serikali zote ni za ccm collective responsibility inanambia inabidi awamu hii iwe responsible na matokeo yote ya tangu Uhuru maana hayapo matokeo yaloketwa na chadem . If you didn’t get my concept pls learn to shut up
Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida ? Tushawahi kufika hatua hiyo before ? Madeni ni hulka ya mtu , mtaani kuna watu hawaogopi madeni ila naamini kuwa na madeni ni sensitive issue na tunahitaji kuwa na discussion ya kina .tukope ye ila tuwe alert na si kuimba mapambio ya madeni kumbe ni siasa tumeingizwa kama jamii. Binafsi haijaniingia akilini na naomba wenye uelewa zaidi wanitoe tongotongo .
Af watakandia Magufuli alikopa kimya kimya! Hio mikopo yenu ya 10T imefanyia nini mbona kila siku mnasingizia madarasa😅?tumesikia imekopwa zaidi ya t10 ila wao wamejikita kutolea ufafanuzi wa 1.3 nahapa ndopenye tatizo
.... ajabu sana haya mambo walipa kodi huwa hatuambiwi! Tukiambiwa sana ni habari za mikopo nafuu isiyo na riba kuwaletea wananchi maendelo ila habari za kukopa kulipa madeni sidhani kama kuna mpiga kura anayejua haya mambo! Yule mwingine ndio kabisa mikopo aligeuza "fedha za ndani"!Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida...
The way you puts it into writing speaks it all .so don’t worry hunny, keep trying.We lazima utakuwa mgogo.
Subiri mama akushughulikie...
Kiboko ya mgogo ni mwanamke
Tumia kiswahili we dogo. Kiingereza hujui kabisa mpaka unatia aibuThe way you puts it into writing speaks it all .so don’t worry hunny, keep trying.
Swali ni kwa nini wanakopa ili walipe?? Hayo mengine ni maelezo yako binafsiUtoto bhana.
Kwa akili zako unadhani Mwigulu ndio waziri wa fedha pekee aliyewahi kukopa?
Yeye kakopa1.3T. Unadhani hiyo 70+T tunayodaiwa ilikopwa lini na kina nani?
Kwanini usijibu hoja ya mtu unakalia ukabila ?!. Una kaujinga fulani hiviWe lazima utakuwa mgogo.
Subiri mama akushughulikie...
Kiboko ya mgogo ni mwanamke
Tulia we sukuma gangKwanini usijibu hoja ya mtu unakalia ukabila ?!. Una kaujinga fulani hivi
Tumia kiswahili we dogo. Kiingereza hujui kabisa mpaka un
Utoto bhana.
Kwa akili zako unadhani Mwigulu ndio waziri wa fedha pekee aliyewahi kukopa?
Yeye kakopa1.3T. Unadhani hiyo 70+T tunayodaiwa ilikopwa lini na kina nani?
Kumbe hujaacha ushoga?q
kumbe wanaandikaje baby
Achana na makabila ya waTz . Jibu hojaTulia we sukuma gang
Sio kila hoja hujibiwa...
Nimekopa wapi?Achana na makabila ya waTz . Jibu hoja
Kwanini unakopa kulipa deni jingine ?!