Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Akizungumza katika kumbukizi hiyo waziri wa fedha Dkt mwigulu nchemba amesema kwa sasa serikali imeanza kuchukua hatua ya kuondoa baadhi ya makato ya miamala unapolipia huduma kwa njia za dijitali ili kuwezesha watanzania wengi kufanya malipo ya kidijitali
"Sisi kama Serikali tunaendelea kuboresha huduma kwenye mifumo ya malipo hasahasa malipo yanapofanyika kidigitali. Tumefanya kwenye kujenga mifumo hiyo kama ambavyo Gavana ameielezea.Mfumo kama ule wa Tpis lengo lake ni kupunguza gharama za kufanya malipo kwa njia za mitandao"