FiksiWakuu,
Akizungumza katika kumbukizi hiyo waziri wa fedha Dkt mwigulu nchemba amesema kwa sasa serikali imeanza kuchukua hatua ya kuondoa baadhi ya makato ya miamala unapolipia huduma kwa njia za dijitali ili kuwezesha watanzania wengi kufanya malipo ya kidijitali
"Sisi kama Serikali tunaendelea kuboresha huduma kwenye mifumo ya malipo hasahasa malipo yanapofanyika kidigitali. Tumefanya kwenye kujenga mifumo hiyo kama ambavyo Gavana ameielezea.Mfumo kama ule wa Tpis lengo lake ni kupunguza gharama za kufanya malipo kwa njia za mitandao"
Kasema wameanzaUongo huo wapi,kiasi walichoondoa hayo makato,siasa kila kitu
Wakuu,
Akizungumza katika kumbukizi hiyo waziri wa fedha Dkt mwigulu nchemba amesema kwa sasa serikali imeanza kuchukua hatua ya kuondoa baadhi ya makato ya miamala unapolipia huduma kwa njia za dijitali ili kuwezesha watanzania wengi kufanya malipo ya kidijitali
"Sisi kama Serikali tunaendelea kuboresha huduma kwenye mifumo ya malipo hasahasa malipo yanapofanyika kidigitali. Tumefanya kwenye kujenga mifumo hiyo kama ambavyo Gavana ameielezea.Mfumo kama ule wa Tpis lengo lake ni kupunguza gharama za kufanya malipo kwa njia za mitandao"
Ongelea kwenu Rwanda, achana na nchi yetuUchaguzi umekaribia baada ya Uchaguzi makato yanarudi pale pale.
Kwahiyo usidanganyike.
Umedanganya gharama za kutuma na kutoaWamechelewesha sana kufikiri hili jambo.Maana mobile transaction ndiyo kila kitu sasa.na pia kuna watu ambao inabidi waamue kutumia miamala ya chash kwa sababu transfer ni very expensive. Niliwahi kumtumia mtu sh 100,000.ghrama za kutuma na pamoja na za yeye kutoa ilikuwa sh11,000. wakati kama ninge chukua hii hela ATM nikamkabidhi kesh nisinge lipa zaidi ya sh 2000
Mwigulu ni mtu wa hovyo kabisaNi rahisi sana kuwaongopea watanzania, wewe wape ‘leading statement’ hakuna sababu ya kutafuta facts, watafuata hiko hiko ulichoweka.
Video ipo juu hivi kasema wanafuta tozo au wanafikiria kwenye sera mpya namna ya kuvutia miamala ya digital njia moja wapo ionekane ni nafuu kuliko kufanya malipo ya cash.
Kweli kabisa, hadaa za kitoto zimeanza.Uchaguzi umekaribia baada ya Uchaguzi makato yanarudi pale pale.
Kwahiyo usidanganyike.